Ndugu zangu naombeni kazi

Ndugu zangu naombeni kazi

Habari wana JF
Ndugu zangu Naombeni kazi iwe ni kazi ya muda mfupi au mrefu
Iwe na malipo ya 15k kwa siku
Iwe maeneo ya Kahama, Mwanza au Mbarali
Kazi yoyote nipo tayari
Nikipata ya mashine au godown itapendeza zaidi
Umri 26
Elimu Form 4
Simu 0744883353
Unaomba kazi alaf unapanga masharti Kama hayo. Eneo la kufanya kazi na mshahara pia unajipangia..duh
 
Unaomba kazi alaf unapanga masharti Kama hayo. Eneo la kufanya kazi na mshahara pia unajipangia..duh
Sioni uharamu wa jambo hilo kazi ni uhuru si utumwa
Ndio maana kuna mikataba ya kazi
 
Tena mshahara ambao hata mtumishi wa chini wa serikali hapati

Huyu bado maisha hayajampiga,kuna wakati niliwah nipate hata sehemu watakaponilipa chakula na kulala
Mtumishi ana fursa nyingi ikiwa kupanda daraja na mikopo
Kazi za mashine unazijua mkuu ? Si kazi rahisi
 
Kuweka greese napiga
Kwa kipindi kama hiki chenye pilika pilika za mpunga bila shaka kupata ajira itakuwa rahis maana kazi ni nyingi na ukitaka upate kirahis inabid uwe unajua hata kubeba gunia begani maana mtu hawez kukupa store wakati hata kupanga gunia hujui au huwez

Tembelea kanda wanazolima sana mpunga lazima upate kwa kipindi hiki maana pilika pilika ni nyingi tenga tu nauli utembelee maeneo mbali mbali ya kanda ya ziwa hasa geitA,bwanga,katoro
 
Ndio kazi za mashine kubeba magunia ni lazima tutapambana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom