Ndugu zangu, mapenzi nomaa...

Ndugu zangu, mapenzi nomaa...

Hahahahaa unanikumbusha anko zangu wa3

Hao wakati nasoma wao walikuwa wanatafuta maisha...
Walisaka pesa na Mungu akawajalia wakazipata
Wakaanza kujipanga mpaka kujenga na viwanja wakanunua

Kimbembe akaingia mwanamke kila mtu kwa mda wake

Kila mmoja akashtukiziwa mimba

Vile viwanja wakauza kulipia ukweni

Majukum yamewakamata mpaka kunyoa ndevu wanasahau

Kwa hili funzo kutoka kwao nmekuwa makini saana kwakweli
Pole ZAO..

#YNWA

Wrote from Anfield...!!!
 
Ukitaka kuoa angalia mwanamke anaekupenda na sio unaempenda ndo uoe,
Alisikika jamaa mmoja hivi akiwa anaelekea jela baada ya kuhukumiwa na mke wake kipenzi
Dah Mimi majuzi aliekuwa demu wangu alinipeleka kituoni kisa hakina kichwa wala miguu,km angekua na bunduki angenipiga [emoji3][emoji3] kisa nilimuacha baada ya kutokea modifications katika tabia zake,so modifications hizo sikuzipenda,nilimpa darsa za kutosha ila alikua akinijib shit,nime-move on kila siku haishi visasi juu yangu km nilimuoa vlee...

F@nn¥[emoji769]
 
Iko hivi..

1. Juma Nature aliachwa na mtoto Sinta, unajua nini kilitokea?
Aliimba sanaa na kutukana mpaka baba wa Sinta "Mzee mwarubadu...muuza ngadu"

2. Ray Vanny kaachwa na Cheupe..
Katoa nyimbo hiyo imenipain sana "NAOGOPA By:- Rayvanny"
Katoa mpaka chozi mbele ya camera..!!!

3. Leo hii R.Kelly kafilisika kabisaa.
Alishindwa kulipa matunzo ya watoto eti million 421..
Yaani Leo hii mzee wa storm is over anakosa $ 200,000
Mapenzi yamemfilisi.

4. Tajiri namba moja (Bezos) katoa hisa za Amazon na kumpa mwanamke utajiri wa karne
Dah hivi marajiri nao wanateseka na hizi papuchi

5. Dangote Tajiri wa Africa alitangaza anaoa, ila baadae aligoma
Eti Tajiri namba moja mwenye mihela yake nae anaogopa kuoa.

Kweli.

"Unajisifu umempata kumbe aliyemwacha anamfata, anachotaka anakipata"

Dedication:- Rayvanny - Naogopa

Mapenzi yanatesa matajiri, wanafunzi, viongozi, wasanii, eti hata mimi shabiki wa majogoo siyaelewi.

"Mapenzi chenga."

Tuendelee kuumizana tu ila tusisahau kuna magunia ya mkaa, mapanga, bunduki, sumu, petrol.

#TAKE_CARE.
#YNWA
Naunga hoja mkono
 
Yani hapo ni demu tu wala sio mke siku akiwa mke itakuaje
 
Yani hapo ni demu tu wala sio mke siku akiwa mke itakuaje
Yan baada ya ile kesi isio kichwa wala miguu kuisha afande aliniponda sana akasema n demu gan huyu aiseh mdogo wangu ulipotea sana na ulitaka kumuweka ndani moja kwa moja?? (Maan tulikuwa wachumba wenye malengo ya kufunga ndoa),..... Nikwamwambia afande namshukuru mungu huyu demu nimejua tabia zake mapema kabla sijaoa angeniharibia maisha yangu totally,.... akasema na kweli angekuharibia we huon kakuleta kituon hapa hakuna kosa lenye mashiko na alitaka ufike hadi mahakamani ungemuoa angeweza hata kukua!!!

NB:sometime jaman uchumba unasaidia sana kujua unaetaka kuja kuishi nae ana rangi gani!!!

F@nn¥[emoji769]
 
Haya

Back
Top Bottom