Ndugu zangu, mapenzi nomaa...

Ndugu zangu, mapenzi nomaa...

Liverpool_Jr

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2019
Posts
1,220
Reaction score
1,417
Iko hivi..

1. Juma Nature aliachwa na mtoto Sinta, unajua nini kilitokea?
Aliimba sanaa na kutukana mpaka baba wa Sinta "Mzee mwarubadu...muuza ngadu"

2. Ray Vanny kaachwa na Cheupe..
Katoa nyimbo hiyo imenipain sana "NAOGOPA By:- Rayvanny"
Katoa mpaka chozi mbele ya camera..!!!

3. Leo hii R.Kelly kafilisika kabisaa.
Alishindwa kulipa matunzo ya watoto eti million 421..
Yaani Leo hii mzee wa storm is over anakosa $ 200,000
Mapenzi yamemfilisi.

4. Tajiri namba moja (Bezos) katoa hisa za Amazon na kumpa mwanamke utajiri wa karne
Dah hivi marajiri nao wanateseka na hizi papuchi

5. Dangote Tajiri wa Africa alitangaza anaoa, ila baadae aligoma
Eti Tajiri namba moja mwenye mihela yake nae anaogopa kuoa.

Kweli.

"Unajisifu umempata kumbe aliyemwacha anamfata, anachotaka anakipata"

Dedication:- Rayvanny - Naogopa

Mapenzi yanatesa matajiri, wanafunzi, viongozi, wasanii, eti hata mimi shabiki wa majogoo siyaelewi.


"Mapenzi chenga."

Tuendelee kuumizana tu ila tusisahau kuna magunia ya mkaa, mapanga, bunduki, sumu, petrol.

#TAKE_CARE.
#YNWA
 
Ukitaka kuoa angalia mwanamke anaekupenda na sio unaempenda ndo uoe,
Alisikika jamaa mmoja hivi akiwa anaelekea jela baada ya kuhukumiwa na mke wake kipenzi
 
Hahahahaa unanikumbusha anko zangu wa3

Hao wakati nasoma wao walikuwa wanatafuta maisha...
Walisaka pesa na Mungu akawajalia wakazipata
Wakaanza kujipanga mpaka kujenga na viwanja wakanunua

Kimbembe akaingia mwanamke kila mtu kwa mda wake

Kila mmoja akashtukiziwa mimba

Vile viwanja wakauza kulipia ukweni

Majukum yamewakamata mpaka kunyoa ndevu wanasahau

Kwa hili funzo kutoka kwao nmekuwa makini saana kwakweli
 
Liverpool_Jr,

Ukifikiria sana ufedhuli wa wanawake unaweza usiowe cha msingi ni kuowa mwanamke anayejielewa, mtafutaji na mwenye huruma, tatizo vijana wengi mnawazoeza wanawake maisha ya kupenda slope kabla hamjawaoa unakuta unampeleka binti kwenye starehe, lunch, dinner badala apike hapo gheto kwako mle.
Kila binadamu anapenda starehe..
Tatizo ni..."Kila MTU ana definition yake ya starehe..""

#YNWA
 
1.Pesa, chapaa, mtwalo, mapene, cash, dorale, salario, karatasi.

2. Papuchi na mikuyenge

Hivi ndivyo vinavyochochea furaha na matatizo hapa duniani.
Amen..!!
The world has lost the MEANING of LOVE..

#YNWA
 
Ukitaka kuoa angalia mwanamke anaekupenda na sio unaempenda ndo uoe,
Alisikika jamaa mmoja hivi akiwa anaelekea jela baada ya kuhukumiwa na mke wake kipenzi
Kuoa sasa sio fashion tena..!!

Ni sogea tuishi tu..!!

#YNWA
 
Back
Top Bottom