BABU KIDUDE
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 1,587
- 918
- Thread starter
-
- #61
Nimeruka ruka kuokoa muda ametoa mimba nyingi sana kupima kwake ilikuwa kama kunywa Maji, hivi Jana Nilikuwa Kinyerezi kuongea na Shemeji yangu kwani jamaa bado anaishi kwanguNimejitahidi nimeisoma yote ila kwa shida sana mkuu..
Dah!!..huyo mdada kapitia magumu sana na amekuwa na wanaume wengi kwenye uhusiano wa kimapenzi ila hakuwahi kupata mimba/ujauzito.
POLE SANA KWA JAMAA YAKO
Ningekuwa nishakufa au Ungesikia kwenye vyombo vya habari ahhha hha hha hhHaiwezekani ukariri story ya kusimuliwa kiasi hiki... Wewe ndio mhusika... Samahani lakini Mkuu 🏃🏾🏃🏾🏃🏾
Mzee ningeshare screenshorts nawe kuamini ni kuchagua tuuNi hadithi tu hii, maana kwenye uhalisia haiwezekani mwanamke amwelezee mume wake matukio yote haya tena kwa mtiririko na mpaka wanaotaka kumla soon, huyo mwanamme si atazimia.
wapo wenye vipaji vyao asee siye tuishie kusoma tuuuKweli writing skills ni hitaji la muhimu kwa vijana wa kitanzania
Kabisa mkuu now days watoto fb wamejaa hukuBABU KIDUDE
Jamii forum ilikuwa zamani ila kwa sasa ni kazi bure. Hii forum kipindi cha nyuma ilikuwa ina watu waelewa na wenye kujitambua japokuwa wapo ila kwasasa ni wachache sana. Kama una masuala yako yanayohitaji ushauri bora ukayamaliza nje ya jamii forum kuliko humu maana watu badala ya kujadili mada yako wanaanza kujadili uandishi wako japokuwa umewaomba radhi kwa uandishi. Hii forum ishavamiwa na watoto na siyo salama tena kwa masuala nyeti kama ya kwako.
Huyo mwanamke bado anampenda jamaa ila shida bado anatabia ya huruma na jinsi mlolongo wa wanaume wanaomfuatilia lazima wamtafune kama ataendelea na kazi. Kama ikiwezekana jamaa amtafutie kazi ya kujiajiri tofauti na hapo hao jamaa lazima wamtafune tu na wala haiepukiki kuliwa.
kweli mkuu ni ngumu sana na hata jamaa yako inabidi afanye maamuzi magumu sana:Nimejitahidi sana Kuficha vitu Vingi, nimepitia comments nyingi wenye Ushahuri ni wachache sana wengi wamekosoa na kama kawaida waswahili wengine wamejikita kweye udhaifu wangu uandishi pamoja na kuomba Radhi, wengine wamehusisha hii story na mimi yote ndo Jamiiforum hiyooo uhuru wa kutoa maoni.
Jana baada ya kutoka kazini nilipita Kinyerezi kwa shemeji yangu huyo kituo kinaitwa Saloon, Tuliongelea swala hili shemeji yangu alibaki analia tuu haku akinipa simu yake kuonyesha hayo na yeye yupo tayali kwa adhabu yoyote na kwa kiasi kikubwa anajuta kuzaliwa na anaomba hata afe azaliwe upya hili afanyie marekebisho makosa yake. Muda Mwingi alikuwa anamuulizia mume wake anaendeleaje kama anakula...
Halafu unafuatilia story kwa umakini....ndefu huku ukidhani anafinalize lakini wapi.... sasa ndo unakutana na hizo MBAKA kibao. Though in most cases huwa tunaandika tukiwa occupied sana.Sipendi mtu aandike MBAKA aseee!!imagine anayeandika ni mwingine lakini ninayeteseka ni mie
Ukifika mwisho wa stori yako nitasoma
Ha ha ha..... au kule uswahilini kibanda cha mkaa kimeandikwa MKAA HUPO!Kabisa mkuu
Mi huwa nashindwa kabisa kuelewa watu kama hawa hawajui kiswahiliSipendi mtu aandike MBAKA aseee!!imagine anayeandika ni mwingine lakini ninayeteseka ni mie
Ukifika mwisho wa stori yako nitasoma
Ahahaha kwamba magunia ya mkaa auNingekuwa nishakufa au Ungesikia kwenye vyombo vya habari ahhha hha hha hh
Kwani lazima uisome? Hakuna mtihani humu unaiacha tu.Next tym ujaribu ku summarize basi. Story ndefu kama sinema ya kihindi! Sijaweza kumaliza kuisoma.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wee jamaa kwenye kuandika tu umekuwa m'mbea hivi, vipi Kama ndio unawasimulia watu kwa mdomo si utatumia masaa manne! mwanaume umbea haukufai acha hizo khaa