Ndugu wanaJF angalieni ujuzi wangu na mnisaidie ajira

Kwa hizo lugha za kigeni njoo Arusha uwe tour guide ila elimu ya wanyama por inabid uwe nayo pia
Arusha mnabania sana watu wa sehemu nyengine, nakumbuka nilidima hapo zaidi ya mwaka ila kila ukienda kwenye kampuni unapigiwa kalenda, na washkaji hawatoi Channel....
 
Nasikia Usalama was Taifa wanavutiwa na watu wanaozifahamu lugha nyingi nyingi Kama wewe jaribu na huko pia
 
Back
Top Bottom