Ndugu wanaJF angalieni ujuzi wangu na mnisaidie ajira

Da'Vinci

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
35,689
106,812
Salute Comrades
Habari za muda wanandugu.
Person Details
Name:
Da'Vinci
Sex: Male
Marital status: Single
Location: Western Tanzania (Lake zone)
Nationality: Tanzanian
Age: 28yrs
Education: Information Technology

Habari wakuu mimi ni kijana kama nilivyojieleza hapo juu, niko mbele yenu natafuta kazi/ajira yoyote halali..
Elimu yangu ni form 4 lakini nimejifunza vitu vingi pia nimesoma Kozi ya Computer (Basic Computer Application/ms word,excel,publish,Internet, etc)

Nina uzoefu na ninaweza kufanya kazi kama vile..
  • Stationary
  • Office Assistance
  • Store keeping
  • Kuza duka rejareja na jumla
  • Secretary
  • Supermarket
  • Maduka ya mavazi
  • Na kazi zingine zozotee
Mbali na kazi hizo naweza kufanya kazi yoyote ile hata kama sijawahi ifanya naaminikatika uwezo wangu wa akili kunasa na kutunza vitu haraka kama nitaelekezwa kazi yoyote ile. Nipo tayari kufanya kazi yoyote na sehem yoyote ile Tanzania,EA, Africa and global.
Mbali na elimu yangu hiyo ya form four
Nimesoma soma pia mambo ya..
  • Psychology
  • Philosophy
  • Theology
  • Spiritual awakening
Naweza kuongea na kuandika lugha ya Kingereza na Kiswahili lakini pia naweza kuelewa lugha kama vile..
  • Kinyarwanda
  • Kirundi
  • Deutsche/Kijeremani
  • Kiitaliano
  • Kihispania
  • Na lugha mbalimbali za makabila ya ukanda wa ziwa.
Nina ujuzi wa kutengeneza simu upande wa software (sijasomea)
Hobby yangu ni..
  • Kuangali muvi
  • Kusoma vitabu
  • Kusikiliza muziki na kuimba Gospel
NB. Usiniambie nitume CV kozi vingi navyofahamu nimejifundisha mwenyewe na kufunzwa na watu. Cheti cha Computer tu ndio kipo.
NB2. Mimi Da'Vinci ndie naomba ajira, am a worker with integrity. Mwaminifu,Mpole,God believer. Najua jinsi ya kuongeza thamani kazi yangu.

Mwisho kabisa napenda niwashukuru woooote mliosoma bandiko hili. Kama utanihitaji niambie niku Pm au uni Pm

Sichagu Kazi !!!!!!!!!

Thanks
Tchao
-Da'Vinci
 
Salute Comrades
Habari za muda wanandugu.
Person Details
Name:
Da'Vinci
Sex: Male
Marital status: Single
Location: Western Tanzania (Lake zone)
Nationality: Tanzanian
Age: 22yrs
Education: Form four level

Habari wakuu mimi ni kijana kama nilivyojieleza hapo juu, niko mbele yenu natafuta kazi/ajira yoyote halali..
Elimu yangu ni form 4 lakini nimejifunza vitu vingi pia nimesoma Kozi ya Computer (Basic Computer Application/ms word,excel,publish,Internet, etc)

Nina uzoefu na ninaweza kufanya kazi kama vile..
  • Stationary
  • Office Assistance
  • Store keeping
  • Kuza duka rejareja na jumla
  • Secretary
  • Supermarket
  • Maduka ya mavazi
  • Na kazi zingine zozotee
Mbali na kazi hizo naweza kufanya kazi yoyote ile hata kama sijawahi ifanya naaminikatika uwezo wangu wa akili kunasa na kutunza vitu haraka kama nitaelekezwa kazi yoyote ile. Nipo tayari kufanya kazi yoyote na sehem yoyote ile Tanzania,EA, Africa and global.
Mbali na elimu yangu hiyo ya form four
Nimesoma soma pia mambo ya..
  • Psychology
  • Philosophy
  • Theology
  • Spiritual awakening
Naweza kuongea na kuandika lugha ya Kingereza na Kiswahili lakini pia naweza kuelewa lugha kama vile..
  • Kinyarwanda
  • Kirundi
  • Deutsche/Kijeremani
  • Kiitaliano
  • Kihispania
  • Na lugha mbalimbali za makabila ya ukanda wa ziwa.
Nina ujuzi wa kutengeneza simu upande wa software (sijasomea)
Hobby yangu ni..
  • Kuangali muvi
  • Kusoma vitabu
  • Kusikiliza muziki na kuimba Gospel
NB. Usiniambie nitume CV kozi vingi navyofahamu nimejifundisha mwenyewe na kufunzwa na watu. Cheti cha Computer tu ndio kipo.
NB2. Mimi Da'Vinci ndie naomba ajira, am a worker with integrity. Mwaminifu,Mpole,God believer. Najua jinsi ya kuongeza thamani kazi yangu.

Mwisho kabisa napenda niwashukuru woooote mliosoma bandiko hili. Kama utanihitaji niambie niku Pm au uni Pm

Sichagu Kazi !!!!!!!!!

Thanks
Tchao
-Da'Vinci
Mungu hashindwi na kitu trust mi kuna neema inakujia

Vuta subra na jaribu kuwa mtu wa maombi
 
Back
Top Bottom