oruguyo
Senior Member
- Jul 28, 2012
- 132
- 37
Ndugu wana janvi nisingependa kuweka uzi huu mahali hapa ila kwa kuwa nimeumizwa na kimya changu kwa siku nyingi naomba niweke mambo haya wazi. kwa wahusika selikali imeleta sehemu ya mapunjo ya mishahara na madai mengine kwenye wilaya nyingi hapa nchini . chakushangaza kwenye wilaya niliyopo mimi watumishi ambao majina yao yanaonekana ndio wanaostahili kulipwa wengiwao hawaidai selikali ila majina yanaonyesha wanatakiwa walipwe kwenye shule iliyopo kwenye kata yangu zaidi ya walimu 8 hawaidai selikali ila majinayametoka eti wapeleke nyaraka ,salary sleep ili walipwe .wahusika tambueni wengine tunamadai tokea 2012 hadi sasa hamjatulipa mnalipa madeni hewa. kumbukeni hamtendei haki taifa hili pia hamtutendei haki sisi wengine.ninaushahidi hata mwaka jana kwenye wilaya niliopo kunawalimu 2 ambao nao walilipwa kwa staili hiyohiyo hadi leo hii wanasema wao ni wateule .