Ndugu wa Aquilina watangaza mchango

Ndugu wa Aquilina watangaza mchango

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,709
Reaction score
9,030
Dar es Salaam. Familia ya mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwiline wamelazimika kuchangisha fedha ili kukodi magari zaidi baada ya idadi ya watu wanaotaka kusafiri kwenda Moshi mkoani Kilimanjaro kwa mazishi kuongezeka.

Akizungumza na MCL Digital leo Februari 22, 2018, msemaji wa familia, Festo Kavishe amesema hali hiyo inatokana na magari mawili yalitotolewa na Serikali kujaa.
 
Clouds FM si walisema wapo tayari kuisaidia serikali kupunguza gharama za usafiri katika bajeti?
 
kwani watu si wajilipie jamani hayo magari mawili ni coaster au gari ndogo
 
Anaetaka kwenda ajigharimie ile sio harusi ni msiba kama gari hazitoshi na umeguswa kwa nini usipande Air Msae?
 
Watu wangine nao uroho wa ubwabwa tu..kama kweli umeguswa na msiba kwa nini ushindwe kulipa nauli?
 
Dar es Salaam. Familia ya mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwiline wamelazimika kuchangisha fedha ili kukodi magari zaidi baada ya idadi ya watu wanaotaka kusafiri kwenda Moshi mkoani Kilimanjaro kwa mazishi kuongezeka.

Akizungumza na MCL Digital leo Februari 22, 2018, msemaji wa familia, Festo Kavishe amesema hali hiyo inatokana na magari mawili yalitotolewa na Serikali kujaa.
WACHAGA SIO WATU
 
Back
Top Bottom