Mm sishangai sana kwa safari za huyu bwana mkubwa kwani ni moja ya burudiko lake,kwani hata akiwa dar tunaona anavyotupa tabu watembea bila vingora,akishirikiana na mama Salma, by the way huyu sijui ni Rais wa namna gani kwani leo kwenye gazeti la mwananchi nimeona picha anafungua petrol station sasa sijaelewa anamaslai nayo au waziri wa nishati na madini au pia mkurugenzi wa mamlaka ya nishati alikuwa na shughuli nyingi kupindukia akaamuwa kuwasaidia,au kiuchumi hiyo petrol station inachangia vipi pato la taifa, I thick inabidi tuwe makini, but najiuliza miaka mitano ni hivi ile ya kumalizia itakuwaje. Tusubiri.