Ndugu Mwanaume

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
1,207
1,676
- Mtangulize alokuumba ,muombe sana akuongoze. Wafate manabii wa kale alowatuma namna ya kuabudu

-
Dunia haina huruma juu yako.

Kibano ni kikali sana.
Kila siku hakikisha:

- Wekeza kwako

-Jitafute

- Jipiganie

- Fanya zaidi

- Show up daily

- Kuwa na consistency na flow

- Usikubali kushindwa kiboya

- Hasira zihamishie kwenye mishe zako

- Acha investment kwenye uzinzi

- Kuwa karibu na wanaokupush zaidi

- Ishi kusudi na daima fata malengo yako

KUTOBOA KUPO TU 🫡
 
- Mtangulize alokuumba ,muombe sana akuongoze. Wafate manabii wa kale alowatuma namna ya kuabudu

-
Dunia haina huruma juu yako.

Kibano ni kikali sana.
Kila siku hakikisha:

- Wekeza kwako

-Jitafute

- Jipiganie

- Fanya zaidi

- Show up daily

- Kuwa na consistency na flow

- Usikubali kushindwa kiboya

- Hasira zihamishie kwenye mishe zako

- Acha investment kwenye uzinzi

- Kuwa karibu na wanaokupush zaidi

- Ishi kusudi na daima fata malengo yako

KUTOBOA KUPO TU 🫡
una akili sana wewe! utaenda mbinguni.. lazima
 
- Mtangulize alokuumba ,muombe sana akuongoze. Wafate manabii wa kale alowatuma namna ya kuabudu

-
Dunia haina huruma juu yako.

Kibano ni kikali sana.
Kila siku hakikisha:

- Wekeza kwako

-Jitafute

- Jipiganie

- Fanya zaidi

- Show up daily

- Kuwa na consistency na flow

- Usikubali kushindwa kiboya

- Hasira zihamishie kwenye mishe zako

- Acha investment kwenye uzinzi

- Kuwa karibu na wanaokupush zaidi

- Ishi kusudi na daima fata malengo yako

KUTOBOA KUPO TU 🫡
Tatizo sio kutoboa tatizo ni kubaki kwenye chati baada ya kutoboa!!
 
Ni kweli kabisa, kuinvest kwenye uzinzi ni hatari sana sana huleta yafuatayo; 1. Dhabi , kujitenga na muumba wako hivyo baraka, bahati katika kutafuta hutoweka na badala yake kuandamwa na mikosi, nuksi na hasara nyingi hatakama umetoboa utajikuta unapata anguko kubwa.
2. Kupoteza fedha nyingi kuhonga na kuwafurahisha Mademu , kitu ambacho hakiwezekani na utakuwa na matumizi makubwa kuliko kipato chako.
3. Kuyumba kiroho na kujipatia laana tu, hebu Fikiria, unagawa laki moja kwa Demu ( kwa mtu wa uchumi wa kawaida tu)huku wanaokutegemea yaani watoto,wazizi na wengine hata mia hiyo siku pegine wako kwenye shida wewe wanaume uliyeoa umeacha mke nyumbani uko Guest ukitumia hela almost yote ya kipato Cha siku kufanya uzinzi!!!!!!!.
4. Hatari ya kupata magonjwa ya Zinaa pamoja na Ukimwi, mtaji wakwanza ni Afya nawegi tunapuuzia sana nakushindwa kujua kuwa Afya ndiyo mtaji namba moja.
 
Back
Top Bottom