Ndugu, jamaa na marafiki

Huyu jamaa bana kabla ya kugongwa na gari alivaa suruali ya jinsi ila baada ya ajali ametokea kavaa kipensi cha jinsi kilicho chanikachanika sijui gari likimgonga mtu linamchania na nguo
 
Huyu jamaa bana kabla ya kugongwa na gari alivaa suruali ya jinsi ila baada ya ajali ametokea kavaa kipensi cha jinsi kilicho chanikachanika sijui gari likimgonga mtu linamchania na nguo
Hahahahahaha au jamaa kapiga visungura akazima , kabla ya kumalizia uzi ikajipost🤔
 
Ndio code mpya tao!
Juma Aweso atakuwa na mkewe Zainab Abdallah

Ridhawan na Mamake Salma

Wanu na mama mdogo Mwanaenzi, pia na mumewe Mchengerwa

Samuel Malecela atakuwa na Mamake Anna Kilango

Geofrey Pinda nae atakuwa na kakake Pinda aliyejiita Ole Pinda kule Ngorongoro

Vita kawawa na dadake

Kwenye urafiki naona wapo wakina Kinje Kingunge, Franklin Sumaye, Mtoto wa Masaburi, Halima Bulembo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…