Ndugu, jamaa na marafiki njooni tumtetee Makonda dhidi ya mapapa wauza unga wanaomzushia

Ebu mshaurini atoe vyeti a one kama Luna mtu atamsakama tRNA. Mbona yule meneja wa bar aliobesha vyeti tu na heshima IPO mpaka Leo?
 
na hili zoezi la kudai vyeti liwe la kudumu pia lisibague vyama
wapi alisoma mtuhuru aweke vyeti na yeye
 
Pamoja na porojo zote ulizoandika, mwambie atoe vyeti...!
 
Vyeti mbele kama tai. maneno yataisha mbele ya vyeti. huko kulalamika au kuteteana kunazidisha watu kutaka vyeti
 
Ni hayo tu....
Asije kupata pepo la kujiuzulu wala asije wapa waovu nafasi ya ushindi,asimame imara.
•KWA SABABU NAFASI KAMA ZA UKUU WA WILAYA AU MKUU WA MKOA ZIPO KIUTAWALA ZAIDI NA SI KI"PROFESSIONAL" KAMA MADAKTARI,MAINJINIA N.K..
->kwani ni hatari zaidi kwa mtu kama daktari kuforge lolote maana huyu huweza kupelekea mauaji ya watu.
 
Nani wakivipata ina maana yeye hana vyeti vyake Kiongozi? Jenga hoja acha kuruka ruka. Ulisha sikia anasema vyeti vyake vimepotea au kuna sehemu Alivisahau? Think louder
Na maana hivyo alivyokuwa navyo akiamua tuvione na vikawa sawa yaani OK hakuna dosari itakuwaje
 
Dalili za kukata tamaa hizo na kuishiwa pumzi,umehisi kushindwa kwa kampeni yenu chafu
Makonda ni very Intelligent huwezi kumlinganisha na Mwigulu.Vita inaendelea
 






Hoja yako inatia uvivu hata kuijadili,unapojiona kuwa fikra zako ni sahihi zaidi ya wenzako,ujuwe umefika ukomo wa kufikiri.Suala la anayejiita Paul Makonda lipo wazi,hakuna anayehangaika na mambo yake,hata nafasi aliyonayo haituhusu,atajuwana mwenyewe na aliyemteua.

Tunachohitaji sisi ni uadilifu wa kitaaluma,aoneshe vyeti vyake tu,ili taifa lijiridhishe kuwa lina viongozi wanaotenda na kufikiri kwa upeo wa akili zao.Kwani cheti chake kina uzito wa tani ngapi kiasi cha kumfanya ashindwe kukibeba na kukileta mbele ya vyombo vya habari,badala yake anakimbilia kumwaga machozi kwenye nyumba za ibada?
 
walimu na Manes waliotimuliwa ivi ilikua issue ya vyeti ama kulikua na issue nyingine nyuma ya pazia?? au kwa kua huyu ni papa??
 
Hata kama leo Daudi angeleta vyeti vyake, sidhani kama ingelisaidia tena. Kwa nini alikaa kimya mda wote huo?? Asikimbilie makanisani na misikitini kujificha humo. Alete vyeti ka sivyo mtukufu rais naye amuulize Gwajima; Nimtumbue au nisimtumbue?' Alimfanya yule mmbaba wa watu kafwa Bp kwa kumtumbulia hadharani. Leo, zamu yake cause they say; What goes round comes around. Tena utavuna ulichopanda atii! Hiyo ni kanuni ya asili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…