alumelunda
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 830
- 1,014
[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960]Ni heri Baba'ko angepiga punyeto tu kuliko kuzaa toto jinga kama wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app

Udini haufai, dr Shen ni muislam ila kamfanya nini maalim Sef?Yeye alivyoumwa akakatwa nanii angeacha kupewa mshahara kwa muda huo angejiskiaje!! Nimuda sasa tuwe na Spika muislam swala tano hawa wakristo wanarahisisha sana ibada.
Ni haki yake wala siyo huruma,hivi maccm nani kawaroga hadi kujitoa ufahamu kiasi hiki?KAONEWA HURUMA BADO MNAKUJA NA MANENO MAGUMU MAGUMU HUMU MNAMPONZA MWENZENU
Sent using Jamii Forums mobile app
Idd amin(sema ndugayi) akifa...[emoji444][emoji445]Ndugai akifa siwezi kuhuzunika
Israili hawajibiki ipasavyo siku hizi.Huyu jamaa toka alichungulie kaburi utu umemtoka kabisa.
Majaribu yajayo inabidi yawe makali zaidi,ni mfano wa hovyo sana kwa jamii huyu mtu.
KAONEWA HURUMA BADO MNAKUJA NA MANENO MAGUMU MAGUMU HUMU MNAMPONZA MWENZENU
Sent using Jamii Forums mobile app
Yupi??Huyu jamaa toka alichungulie kaburi utu umemtoka kabisa.
Majaribu yajayo inabidi yawe makali zaidi,ni mfano wa hovyo sana kwa jamii huyu mtu.
NdugaiYupi??
Angetumia fursa hii kumshukuru Mungu kwa wema wake kwake.
Makelele tuliopiga na kumlaani, Mungu ameyasikiliza na kaogopa kweli kweli. LiSpika wa Bunge, Job Ndugai amesema mhimili huo wa Dola umeshamlipa madai yake yote mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu huku akimwagiza kuwa kama ana jambo lolote kuwasiliana na mamlaka husika na si kutumia mitandao ya kijamii.
Ndugai alitoa kauli hiyo juzi wakati akizungumza na Mwananchi kwa simu ikiwa zimepita siku 10 tangu mnadhimu huyo wa kambi rasmi ya upinzani bungeni kumwandikia barua Katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai akimtaka kumlipa mshahara na posho zake za kuanzia Januari, ndani ya siku 14 vinginevyo atashtaki mahakamani.
Machi 27, Kagaigai alipoulizwa kama amepata barua hiyo, alisema hajaipata lakini wakili wa Lissu, John Mallya alisema kwamba aliituma barua hiyo kwa wahusika kwa njia mbili, moja ikitumwa ofisi ndogo ya Bunge Dar es Salaam kwa njia ya kitabu cha hati ya kupokea kwa kutia saini (dispatch) na nyingine kwa EMS.
Lissu alibainisha kuwa mawakili wake waliandika barua hiyo kutaka alipwe mshahara na posho zake za kibunge za tangu Januari, 2019.
Kabla ya kuthibitisha kwamba mbunge huyo ameshalipwa madai yake, Ndugai alisema, “pale bungeni hatumuonei mtu hata kidogo labda nikate simu yako niangalie kama kweli amelipwa ninaweza kufanya kazi hiyo,” alisema Ndugai na baadaye kupiga simu na kueleza kuwa Mnadhimu huyo wa Kambi Rasmi ya Upinzani bungeni tayari ameshalipwa, “wameshamlipa,” alipoulizwa amelipwa madai gani alisema, “usitake tena… yaani hana madai. Kama ana madai mengine atasema.”
Mbunge huyo amekuwa nje ya nchi tangu Septemba 7, 2017 baada ya kushambuliwa kwa risasi katika makazi yake Area D jijini Dodoma. Mpaka sasa yupo Ubelgiji akiendelea na matibabu.
Katika maelezo yake, Ndugai alisema Lissu anatumia njia zisizo nzuri kueleza masuala yake, likiwamo hilo la madai yake.
“Hii si njia nzuri ya mawasiliano. Ninachosisitiza mtu ni mtumishi katika taasisi unatakiwa kuwajibika kwa watu fulani fulani lakini huwatambui huwasiliani nao,” alisema Ndugai.
Alimshauri Lissu kutafuta ufumbuzi wa masuala yake ya bungeni kupitia viongozi mbalimbali wa upinzani.
“Haki ya mtu ni haki ya mtu, siwezi kusimama katikati ya haki ya mtu… sifuatiliagi mshahara wa mtu mmojammoja mwisho wake nitahamia uhasibu,” alisema Ndugai huku akicheka.
Alisema huenda kulikuwa na shida ya huduma ya malipo ya kibenki au fedha kuchelewa, “ni kama ilivyo kwa malipo ya mahala popote pa kazi, mfano hata makandarasi wanadai.”
Hata hivyo, Mwananchi lilipomtafuta Lissu kujua kama kweli amelipwa alisema apewe muda awasiliane na watu wa benki kisha akishapata majibu atarejea. Lakini hadi saa 1:30 jioni alikuwa hajapata majibu kutoka benki kutokana na kuwa nje ya nchi.
Lissu ni Mzee wa Upako hakuna jambo lake linaenda bure.Ni siku 14 alizowapa, nadhani watu wa upinzani wamtumie sana Lisu wanapotaka kudeal na mashetani ya ccm.
Hawa Jamaa ukiwakazia ni wepesi sana , nadhani wanaogopa Mabeberu ambao ndio marafiki wa Lissu.Kumeza matapishi, tena hadharani kunataka moyo wa mwendawazimu hiviii...!!!
Nikizikumbuka kauli zake kabla ya hii na kauli za wengine wote kama akina mbunge MSUKUMA... NALISIKTIKIA BUNGE LETU...
Kumbe aheria wanaziogopa..!!!! MKOJO HAKUPIMWA NA WAKAKAA KIMYA.. HILI LA STAHIKI ZAKE NALO WAMEACHIA...!!!
Bado ASSAD....!!!
Mungu atampa pigo Ndugai ambalo litatoa fundisho la kudumu kwa viongozi dhalimu wote wa aina yake.Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema mhimili huo wa Dola umeshamlipa madai yake yote mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu huku akimwagiza kuwa kama ana jambo lolote kuwasiliana na mamlaka husika na si kutumia mitandao ya kijamii.
Ndugai alitoa kauli hiyo juzi wakati akizungumza na Mwananchi kwa simu ikiwa zimepita siku 10 tangu mnadhimu huyo wa kambi rasmi ya upinzani bungeni kumwandikia barua Katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai akimtaka kumlipa mshahara na posho zake za kuanzia Januari, ndani ya siku 14 vinginevyo atashtaki mahakamani.
Machi 27, Kagaigai alipoulizwa kama amepata barua hiyo, alisema hajaipata lakini wakili wa Lissu, John Mallya alisema kwamba aliituma barua hiyo kwa wahusika kwa njia mbili, moja ikitumwa ofisi ndogo ya Bunge Dar es Salaam kwa njia ya kitabu cha hati ya kupokea kwa kutia saini (dispatch) na nyingine kwa EMS.
Lissu alibainisha kuwa mawakili wake waliandika barua hiyo kutaka alipwe mshahara na posho zake za kibunge za tangu Januari, 2019.
Kabla ya kuthibitisha kwamba mbunge huyo ameshalipwa madai yake, Ndugai alisema, “pale bungeni hatumuonei mtu hata kidogo labda nikate simu yako niangalie kama kweli amelipwa ninaweza kufanya kazi hiyo,” alisema Ndugai na baadaye kupiga simu na kueleza kuwa Mnadhimu huyo wa Kambi Rasmi ya Upinzani bungeni tayari ameshalipwa, “wameshamlipa,” alipoulizwa amelipwa madai gani alisema, “usitake tena… yaani hana madai. Kama ana madai mengine atasema.”
Mbunge huyo amekuwa nje ya nchi tangu Septemba 7, 2017 baada ya kushambuliwa kwa risasi katika makazi yake Area D jijini Dodoma. Mpaka sasa yupo Ubelgiji akiendelea na matibabu.
Katika maelezo yake, Ndugai alisema Lissu anatumia njia zisizo nzuri kueleza masuala yake, likiwamo hilo la madai yake.
“Hii si njia nzuri ya mawasiliano. Ninachosisitiza mtu ni mtumishi katika taasisi unatakiwa kuwajibika kwa watu fulani fulani lakini huwatambui huwasiliani nao,” alisema Ndugai.
Alimshauri Lissu kutafuta ufumbuzi wa masuala yake ya bungeni kupitia viongozi mbalimbali wa upinzani.
“Haki ya mtu ni haki ya mtu, siwezi kusimama katikati ya haki ya mtu… sifuatiliagi mshahara wa mtu mmojammoja mwisho wake nitahamia uhasibu,” alisema Ndugai huku akicheka.
Alisema huenda kulikuwa na shida ya huduma ya malipo ya kibenki au fedha kuchelewa, “ni kama ilivyo kwa malipo ya mahala popote pa kazi, mfano hata makandarasi wanadai.”
Hata hivyo, Mwananchi lilipomtafuta Lissu kujua kama kweli amelipwa alisema apewe muda awasiliane na watu wa benki kisha akishapata majibu atarejea. Lakini hadi saa 1:30 jioni alikuwa hajapata majibu kutoka benki kutokana na kuwa nje ya nchi.
Mwenye Haki ataishi milele.....Lissu haki na wema aliotendea watu unamlinda, Baba Mungu hata mwacha kamwe. Tuishi kwa kutenda haki na kuchapa kazi kama Lissu.Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema mhimili huo wa Dola umeshamlipa madai yake yote mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu huku akimwagiza kuwa kama ana jambo lolote kuwasiliana na mamlaka husika na si kutumia mitandao ya kijamii.
Ndugai alitoa kauli hiyo juzi wakati akizungumza na Mwananchi kwa simu ikiwa zimepita siku 10 tangu mnadhimu huyo wa kambi rasmi ya upinzani bungeni kumwandikia barua Katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai akimtaka kumlipa mshahara na posho zake za kuanzia Januari, ndani ya siku 14 vinginevyo atashtaki mahakamani.
Machi 27, Kagaigai alipoulizwa kama amepata barua hiyo, alisema hajaipata lakini wakili wa Lissu, John Mallya alisema kwamba aliituma barua hiyo kwa wahusika kwa njia mbili, moja ikitumwa ofisi ndogo ya Bunge Dar es Salaam kwa njia ya kitabu cha hati ya kupokea kwa kutia saini (dispatch) na nyingine kwa EMS.
Lissu alibainisha kuwa mawakili wake waliandika barua hiyo kutaka alipwe mshahara na posho zake za kibunge za tangu Januari, 2019.
Kabla ya kuthibitisha kwamba mbunge huyo ameshalipwa madai yake, Ndugai alisema, “pale bungeni hatumuonei mtu hata kidogo labda nikate simu yako niangalie kama kweli amelipwa ninaweza kufanya kazi hiyo,” alisema Ndugai na baadaye kupiga simu na kueleza kuwa Mnadhimu huyo wa Kambi Rasmi ya Upinzani bungeni tayari ameshalipwa, “wameshamlipa,” alipoulizwa amelipwa madai gani alisema, “usitake tena… yaani hana madai. Kama ana madai mengine atasema.”
Mbunge huyo amekuwa nje ya nchi tangu Septemba 7, 2017 baada ya kushambuliwa kwa risasi katika makazi yake Area D jijini Dodoma. Mpaka sasa yupo Ubelgiji akiendelea na matibabu.
Katika maelezo yake, Ndugai alisema Lissu anatumia njia zisizo nzuri kueleza masuala yake, likiwamo hilo la madai yake.
“Hii si njia nzuri ya mawasiliano. Ninachosisitiza mtu ni mtumishi katika taasisi unatakiwa kuwajibika kwa watu fulani fulani lakini huwatambui huwasiliani nao,” alisema Ndugai.
Alimshauri Lissu kutafuta ufumbuzi wa masuala yake ya bungeni kupitia viongozi mbalimbali wa upinzani.
“Haki ya mtu ni haki ya mtu, siwezi kusimama katikati ya haki ya mtu… sifuatiliagi mshahara wa mtu mmojammoja mwisho wake nitahamia uhasibu,” alisema Ndugai huku akicheka.
Alisema huenda kulikuwa na shida ya huduma ya malipo ya kibenki au fedha kuchelewa, “ni kama ilivyo kwa malipo ya mahala popote pa kazi, mfano hata makandarasi wanadai.”
Hata hivyo, Mwananchi lilipomtafuta Lissu kujua kama kweli amelipwa alisema apewe muda awasiliane na watu wa benki kisha akishapata majibu atarejea. Lakini hadi saa 1:30 jioni alikuwa hajapata majibu kutoka benki kutokana na kuwa nje ya nchi.
Mwenye ule uzi Ndugaaaaaaiii(In Pierre Konk's voice) aki order kutomlipa Lissu Mshahara wake ashee tafadhaliSpika wa Bunge, Job Ndugai amesema mhimili huo wa Dola umeshamlipa madai yake yote mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu huku akimwagiza kuwa kama ana jambo lolote kuwasiliana na mamlaka husika na si kutumia mitandao ya kijamii.
Ndugai alitoa kauli hiyo juzi wakati akizungumza na Mwananchi kwa simu ikiwa zimepita siku 10 tangu mnadhimu huyo wa kambi rasmi ya upinzani bungeni kumwandikia barua Katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai akimtaka kumlipa mshahara na posho zake za kuanzia Januari, ndani ya siku 14 vinginevyo atashtaki mahakamani.
Machi 27, Kagaigai alipoulizwa kama amepata barua hiyo, alisema hajaipata lakini wakili wa Lissu, John Mallya alisema kwamba aliituma barua hiyo kwa wahusika kwa njia mbili, moja ikitumwa ofisi ndogo ya Bunge Dar es Salaam kwa njia ya kitabu cha hati ya kupokea kwa kutia saini (dispatch) na nyingine kwa EMS.
Lissu alibainisha kuwa mawakili wake waliandika barua hiyo kutaka alipwe mshahara na posho zake za kibunge za tangu Januari, 2019.
Kabla ya kuthibitisha kwamba mbunge huyo ameshalipwa madai yake, Ndugai alisema, “pale bungeni hatumuonei mtu hata kidogo labda nikate simu yako niangalie kama kweli amelipwa ninaweza kufanya kazi hiyo,” alisema Ndugai na baadaye kupiga simu na kueleza kuwa Mnadhimu huyo wa Kambi Rasmi ya Upinzani bungeni tayari ameshalipwa, “wameshamlipa,” alipoulizwa amelipwa madai gani alisema, “usitake tena… yaani hana madai. Kama ana madai mengine atasema.”
Mbunge huyo amekuwa nje ya nchi tangu Septemba 7, 2017 baada ya kushambuliwa kwa risasi katika makazi yake Area D jijini Dodoma. Mpaka sasa yupo Ubelgiji akiendelea na matibabu.
Katika maelezo yake, Ndugai alisema Lissu anatumia njia zisizo nzuri kueleza masuala yake, likiwamo hilo la madai yake.
“Hii si njia nzuri ya mawasiliano. Ninachosisitiza mtu ni mtumishi katika taasisi unatakiwa kuwajibika kwa watu fulani fulani lakini huwatambui huwasiliani nao,” alisema Ndugai.
Alimshauri Lissu kutafuta ufumbuzi wa masuala yake ya bungeni kupitia viongozi mbalimbali wa upinzani.
“Haki ya mtu ni haki ya mtu, siwezi kusimama katikati ya haki ya mtu… sifuatiliagi mshahara wa mtu mmojammoja mwisho wake nitahamia uhasibu,” alisema Ndugai huku akicheka.
Alisema huenda kulikuwa na shida ya huduma ya malipo ya kibenki au fedha kuchelewa, “ni kama ilivyo kwa malipo ya mahala popote pa kazi, mfano hata makandarasi wanadai.”
Hata hivyo, Mwananchi lilipomtafuta Lissu kujua kama kweli amelipwa alisema apewe muda awasiliane na watu wa benki kisha akishapata majibu atarejea. Lakini hadi saa 1:30 jioni alikuwa hajapata majibu kutoka benki kutokana na kuwa nje ya nchi.
Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema mhimili huo wa Dola umeshamlipa madai yake yote mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu huku akimwagiza kuwa kama ana jambo lolote kuwasiliana na mamlaka husika na si kutumia mitandao ya kijamii.
Ndugai alitoa kauli hiyo juzi wakati akizungumza na Mwananchi kwa simu ikiwa zimepita siku 10 tangu mnadhimu huyo wa kambi rasmi ya upinzani bungeni kumwandikia barua Katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai akimtaka kumlipa mshahara na posho zake za kuanzia Januari, ndani ya siku 14 vinginevyo atashtaki mahakamani.
Machi 27, Kagaigai alipoulizwa kama amepata barua hiyo, alisema hajaipata lakini wakili wa Lissu, John Mallya alisema kwamba aliituma barua hiyo kwa wahusika kwa njia mbili, moja ikitumwa ofisi ndogo ya Bunge Dar es Salaam kwa njia ya kitabu cha hati ya kupokea kwa kutia saini (dispatch) na nyingine kwa EMS.
Lissu alibainisha kuwa mawakili wake waliandika barua hiyo kutaka alipwe mshahara na posho zake za kibunge za tangu Januari, 2019.
Kabla ya kuthibitisha kwamba mbunge huyo ameshalipwa madai yake, Ndugai alisema, “pale bungeni hatumuonei mtu hata kidogo labda nikate simu yako niangalie kama kweli amelipwa ninaweza kufanya kazi hiyo,” alisema Ndugai na baadaye kupiga simu na kueleza kuwa Mnadhimu huyo wa Kambi Rasmi ya Upinzani bungeni tayari ameshalipwa, “wameshamlipa,” alipoulizwa amelipwa madai gani alisema, “usitake tena… yaani hana madai. Kama ana madai mengine atasema.”
Mbunge huyo amekuwa nje ya nchi tangu Septemba 7, 2017 baada ya kushambuliwa kwa risasi katika makazi yake Area D jijini Dodoma. Mpaka sasa yupo Ubelgiji akiendelea na matibabu.
Katika maelezo yake, Ndugai alisema Lissu anatumia njia zisizo nzuri kueleza masuala yake, likiwamo hilo la madai yake.
“Hii si njia nzuri ya mawasiliano. Ninachosisitiza mtu ni mtumishi katika taasisi unatakiwa kuwajibika kwa watu fulani fulani lakini huwatambui huwasiliani nao,” alisema Ndugai.
Alimshauri Lissu kutafuta ufumbuzi wa masuala yake ya bungeni kupitia viongozi mbalimbali wa upinzani.
“Haki ya mtu ni haki ya mtu, siwezi kusimama katikati ya haki ya mtu… sifuatiliagi mshahara wa mtu mmojammoja mwisho wake nitahamia uhasibu,” alisema Ndugai huku akicheka.
Alisema huenda kulikuwa na shida ya huduma ya malipo ya kibenki au fedha kuchelewa, “ni kama ilivyo kwa malipo ya mahala popote pa kazi, mfano hata makandarasi wanadai.”
Hata hivyo, Mwananchi lilipomtafuta Lissu kujua kama kweli amelipwa alisema apewe muda awasiliane na watu wa benki kisha akishapata majibu atarejea. Lakini hadi saa 1:30 jioni alikuwa hajapata majibu kutoka benki kutokana na kuwa nje ya nchi.
Vipi kwa sasa Ndungai kashajua alipo TL maana alisema ofisi yake haina taarifa au katishwa na barua hiyo au hela walikuwa wanaizungusha kwenye fixed account sasa ishaiva?? Pia km ambavyo hachelewi kutaja madeni ya wenzie angetwambia kalipa Bei gani ili tujue yuko kwenye msongo wa mawazo au la!Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema mhimili huo wa Dola umeshamlipa madai yake yote mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu huku akimwagiza kuwa kama ana jambo lolote kuwasiliana na mamlaka husika na si kutumia mitandao ya kijamii.
Ndugai alitoa kauli hiyo juzi wakati akizungumza na Mwananchi kwa simu ikiwa zimepita siku 10 tangu mnadhimu huyo wa kambi rasmi ya upinzani bungeni kumwandikia barua Katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai akimtaka kumlipa mshahara na posho zake za kuanzia Januari, ndani ya siku 14 vinginevyo atashtaki mahakamani.
Machi 27, Kagaigai alipoulizwa kama amepata barua hiyo, alisema hajaipata lakini wakili wa Lissu, John Mallya alisema kwamba aliituma barua hiyo kwa wahusika kwa njia mbili, moja ikitumwa ofisi ndogo ya Bunge Dar es Salaam kwa njia ya kitabu cha hati ya kupokea kwa kutia saini (dispatch) na nyingine kwa EMS.
Lissu alibainisha kuwa mawakili wake waliandika barua hiyo kutaka alipwe mshahara na posho zake za kibunge za tangu Januari, 2019.
Kabla ya kuthibitisha kwamba mbunge huyo ameshalipwa madai yake, Ndugai alisema, “pale bungeni hatumuonei mtu hata kidogo labda nikate simu yako niangalie kama kweli amelipwa ninaweza kufanya kazi hiyo,” alisema Ndugai na baadaye kupiga simu na kueleza kuwa Mnadhimu huyo wa Kambi Rasmi ya Upinzani bungeni tayari ameshalipwa, “wameshamlipa,” alipoulizwa amelipwa madai gani alisema, “usitake tena… yaani hana madai. Kama ana madai mengine atasema.”
Mbunge huyo amekuwa nje ya nchi tangu Septemba 7, 2017 baada ya kushambuliwa kwa risasi katika makazi yake Area D jijini Dodoma. Mpaka sasa yupo Ubelgiji akiendelea na matibabu.
Katika maelezo yake, Ndugai alisema Lissu anatumia njia zisizo nzuri kueleza masuala yake, likiwamo hilo la madai yake.
“Hii si njia nzuri ya mawasiliano. Ninachosisitiza mtu ni mtumishi katika taasisi unatakiwa kuwajibika kwa watu fulani fulani lakini huwatambui huwasiliani nao,” alisema Ndugai.
Alimshauri Lissu kutafuta ufumbuzi wa masuala yake ya bungeni kupitia viongozi mbalimbali wa upinzani.
“Haki ya mtu ni haki ya mtu, siwezi kusimama katikati ya haki ya mtu… sifuatiliagi mshahara wa mtu mmojammoja mwisho wake nitahamia uhasibu,” alisema Ndugai huku akicheka.
Alisema huenda kulikuwa na shida ya huduma ya malipo ya kibenki au fedha kuchelewa, “ni kama ilivyo kwa malipo ya mahala popote pa kazi, mfano hata makandarasi wanadai.”
Hata hivyo, Mwananchi lilipomtafuta Lissu kujua kama kweli amelipwa alisema apewe muda awasiliane na watu wa benki kisha akishapata majibu atarejea. Lakini hadi saa 1:30 jioni alikuwa hajapata majibu kutoka benki kutokana na kuwa nje ya nchi.
Ingekuwa huruma asingesema (haki ya mtu ni haki tu) rudia kusoma km huruma wewe mbona hujalipwa hiyo huruma??KAONEWA HURUMA BADO MNAKUJA NA MANENO MAGUMU MAGUMU HUMU MNAMPONZA MWENZENU
Sent using Jamii Forums mobile app