Huyo ****** mwenyewe afya yake mgogoro kila mwezi yuko kwenye foleni ya daktari, unategemea nini hapo?
Na huyo Naibu wake kapata hiyo nafasi kwa sababu ni mtu wa karibu wa mtoto pendwa wa Rais mstaafu, unategemea nini hapo?
Kwa viumbe hao ni lazima Bunge lizimwe ili kuficha madudu ya hao watu wawili wanaofunikwa na M/kiti wa Bunge, Mzee wa Vijisenti.
Ova