Danny Massawe
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 1,299
- 765
Kuna mwanafalsafa mmoja aliwahi kusema"ukimwelimisha mwenye hekima huzidi kuwa na hekima zaidi,na ukimwelimisha m.pumb.avu huzidi kuwa mpu.mbavu zaidi" Hivyo cha muhimu zaidi ni hekima, elimu ni kama catalyst nadhani wao wako upande wa hekma!I believe they can change as they are well educated heads
Kweli wisdom ndio issueKuna mwanafalsafa mmoja aliwahi kusema"ukimwelimisha mwenye hekima huzidi kuwa na hekima zaidi,na ukimwelimisha m.pumb.avu huzidi kuwa mpu.mbavu zaidi" Hivyo cha muhimu zaidi ni hekima, elimu ni kama catalyst nadhani wao wako upande wa hekma!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
mathaweeeeeeeeee kila siku mlikuwa mkimtukana mama Makinda bure humu leo hii unakuja na porojo zako hapo eti bora mama Makinda? kiruu.Hawa kwa jinsi walivyoanza wanafanya mama Makinda aonekane jembe, maana wameanza kuongoza bunge kwa viwango vya chini sana kila mtu analiona hilo.
Nawashauri hawa viongozi wabadilike wawasikilize wabunge na waache kupelekwa pelekwa na serikali.
Kazi ya bunge ni kusimamia serikali sio kutekeleza maagizo ya serikali. Pia wapunguze upendeleo kwa Chama kimoja na kuwaminya wengine hakiisipokuwepo ndio inaharibu bunge.
Wanao Muda inabidi wabadilike mama.
Huyu si mwana mama..Lazima kuna ukakasi mahali...haiwezekani kwa kipindi chote hicho tena akiwa na 'refa' mzuri hadi mda huu hajafanyiwa salary review naye katulia tuu!!! #$#/*@*$
Siku wezi 2 wakija kwako mmoja akakuibia baiskeli lakini akawa na uwezi wa kuiba na gari lakini gari akaliacha ili asikutie hasara kubwa... akaja mwingine akasomba vyoye asikuachie na ufagio je..utashindwa hata kusema bora yule mwizi wa kwanza aliyekuibia baiskeli tu.mathaweeeeeeeeee kila siku mlikuwa mkimtukana mama Makinda bure humu leo hii unakuja na porojo zako hapo eti bora mama Makinda? kiruu.
manka hebu niletheeee vitoji moja hapo nipoothe koo.
Yap bora makinda kuliko hawa vilazamathaweeeeeeeeee kila siku mlikuwa mkimtukana mama Makinda bure humu leo hii unakuja na porojo zako hapo eti bora mama Makinda? kiruu.
manka hebu niletheeee vitoji moja hapo nipoothe koo.
Deputy speaker Tulia Akson may change because she is still naive in Parliamentary procedures and in overseeing such a myriad of over 300 educated and experienced politicians but Ndugai has always been biased and can't change.I believe they can change as they are well educated heads