Kongwa imechoka sana,barabara ni vumbi,vijumba vyenye umeme vinahesabika,hospital na shule ni balaa ila kinachosaidia wananchi wengi ni wajinga na hawajaelewa haki zao.wakati wa kampeni hupewa pombe na kanga.hata jimbo la chawene hakuna kitu pombe ndo huwapa kura.cdm waamsheni wananchi wa dodoma mji utakuwa masikini daima.