Hivi huko mashuleni mlienda somea ujunga.. !?Hivi hii Kamati yenyewe ilikuwa na vielelezo gani kucounter madai ya Gwajima? Ni ubabe ubabe tuu
Mjinga ni yule asiyecross-check hata anachoandika kabla ya kuclick. "Ujunga" ndio nini wewe Mrundi? The whole saga ni ujinga mtupu.Hivi huko mashuleni mlienda somea ujunga.. !?
Ujunga=...?Mjinga ni yule asiyecross-check hata anachoandika kabla ya kuclick. Ujunga ndio nini wewe Mrundi? The whole saga ni ujinga mtupu.
Badala ya Bunge kujadiri matatizo wanayoyapitia wananchi kwa sasa, wao wanakaa vikao kumjadiri Gwajima kupinga chanjo? Chanjo zenyewe milioni moja, as if ndio muarobaini wa kuliondoa tatizo la UVIKO-19 nchini kwetu
Wewe kweli wa kutoka kwa Evariste Ndayishimiye. Kaangalie ulichoandika na utakutana na hayo. Na kama unasupport walichokifanya wana kamati ile ya Ndugai, basi wewe ni hamnazo wahedi.Ujunga=...?
Kujadiri=..!?
Kumjadiri=..!?
Miimi mrundi sijayaelewa hayo maneno yapo kwenye lugha gani!?
Nisaidie then tuendelee
Gwajima ni wakala tu, akishughulikiwa huyo wanakuwa wameshughulikiwa wengi na ujumbe umefikaHivi inakuwaje Speaker Ndugai unakubari vipi kukaa kusikiliza na kutumia pesa za watanzania na mda wa watanzania kujadili kauli za gwajima kanisani kwake?
Huku wananchi wanalia Maisha magumu, tozo kila kona, kwa nini usijikitee huko?.
Wewe unajiona je yani?. Hutaki hata kusimama na wana nchi hata kwa sekunde? Wasaidieni wananchi na changamoto za Maisha sio porojo.
Gwajima anawattu wengi sana Nyuma yake kuhusu chanjo, na watu hawachanji hata nyie huko mnaona.. Usipokuwa makini utakuwa speaker wa kuzalauliwa Maisha yote.
Gwajima ni mbunge sasa ulitaka ashughulikiwe vip wakati huo ndio utaratibuWewe kweli wa kutoka kwa Evariste Ndayishimiye. Kaangalie ulichoandika na utakutana na hayo. Na kama unasupport walichokifanya wana kamati ile ya Ndugai, basi wewe ni hamnazo wahedi.
Yule ni mbunge sio mpuuzi, na hivi ndio namna mambo yao yanavyo tatuliwa kwa mujibu wa kanuniYaani eti kodi zetu ndio zinatumika kumjadili mpuuzi mmoja
Kuwa mbunge hakuondoi upuuzi wake. Mpuuzi ni mpuuzi tu.Yule ni mbunge sio mpuuzi, na hivi ndio namna mambo yao yanavyo tatuliwa kwa mujibu wa kanuni
Huyu askofu tapeli ameombwa na kamati atoe ushahidi wa anayonena, cha ajabu sana amebaki anatoa macho hana ushahidi wowote.Hivi hii Kamati yenyewe ilikuwa na vielelezo gani kucounter madai ya Gwajima? Ni ubabe ubabe tuu