Ndugai amsifia MWIGULU

Nungai sasa tunakusubiri ushabikie ushoga tuu uliobaki kichwani mwako.
 
Hivi unadhani akili ya Ndugai inatofautiana na ya Mwigulu?
 
naibu spika mhe job ndugai amemsifia mbunge wa iramba baada ya swali lake na kusema swali zuri na kusema ama kweli iramba mna mbunge mahiri. Ukweli utabaki palepale hata wenye wivu wakipotosha.

kipofu hawezi kumwongoza kipofu imeandikwa
 
u have completed my evening!
 
hivi unadhani akili ya ndugai inatofautiana na ya mwigulu?
wao wawili na makinda! wanaweza ishi kwenye nyumba za kusadikika!! HATA MTOTO ALIYEKO KWENYE WOMB NADHANI ANAFIKIRIA ZAIDI YAO KWA UWEREVU MKUBWA!
 
Huyu Ndugai ajiandae kwa sunami ya Nguvu za umma kama si M4C
 
ni kweli job, tungepata mwigulu kama 50 tungekuwa mbali
 
Nawahurumia ccm kwa kudhani kuwa watanzania watabadili msimamo wao kwa ajiri watu wasio na ajira kupingana na ukweli kwenye mitandao ya kijamii. Hii ni dalili kubwa sana ya kifo cha ccm. Mimi naendelea kusherehekea ushindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…