Ndugai amsifia MWIGULU

Ndugai amsifia MWIGULU

mopaomokonzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
307
Reaction score
28
Naibu spika mhe Job Ndugai amemsifia Mbunge wa Iramba baada ya swali lake na KUSEMA SWALI ZURI NA KUSEMA AMA KWELI IRAMBA MNA MBUNGE MAHIRI. Ukweli utabaki palepale hata wenye wivu wakipotosha.
 
Naibu spika mhe Job Ndugai amemsifia Mbunge wa Iramba baada ya swali lake na KUSEMA SWALI ZURI NA KUSEMA AMA KWELI IRAMBA MNA MBUNGE MAHIRI. Ukweli utabaki palepale hata wenye wivu wakipotosha

Usimpe PROMO huyu jamaa Mtikila alizoea kuita watu "kubwa jinga" nikawa simwelewi lakini kwa haya yanayoendelea nafikiri naanza kumwelewa. Maana yangu wapotezewe wakifanya chochote tua-ignore tu hawa.
 
Naibu spika mhe Job Ndugai amemsifia Mbunge wa Iramba baada ya swali lake na KUSEMA SWALI ZURI NA KUSEMA AMA KWELI IRAMBA MNA MBUNGE MAHIRI. Ukweli utabaki palepale hata wenye wivu wakipotosha.
Ndege wa aina moja huruka pamoja.
 
Sijawahi kufikiria kuwa Ndugai na wenzake ni watu wa maana. Ilikuwa ni ajali tu kuwa wamekuwa hapo walipo. Hata walevi wa gongo wanaweza kusifiana na kuwapuuza walevi wa bia.
 
Vichaa huwaona watu wenye akili ndiyo vichaa, wanashangaa kwanini hawaokoti makopo wakati yametupwa!...namshukuru Mungu ndugai hakuwa baba yangu, ningeona haya,,,
 
Ni haki yake, atafaham baadaye kwamba yeye na Nchema are altogether in a sinking boat.
 
Naibu spika mhe Job Ndugai amemsifia Mbunge wa Iramba baada ya swali lake na KUSEMA SWALI ZURI NA KUSEMA AMA KWELI IRAMBA MNA MBUNGE MAHIRI. Ukweli utabaki palepale hata wenye wivu wakipotosha.

Sasa kaka/dada Mopaomokonzi, Ndugai anatakiwa asemeje?? Hiyo ndiyo lugha anayoielewa, wanaongea lugha moja, wanafanya matendo sawa!! atamsifia Lissu anayemtoa jasho kila siku na kumpandisha jazba....???
 
mimi sijaelewa, amemsifia kwa lipi?
Nami nimemsikia huyo ******, kupitia kituo cha TV cha TBCCM, akimpongeza sana Mwigulu, eti kauliza swali zuri sana kuhusu ubovu wa barabara wa Sheluwi, mkoani Singida, na akatamka LIVE, eti watu wa Iramba magharibi wamepata mbunge makini!!

Huo ni ushahidi usio na shaka yoyote kuwa kumbe, ****** na Mwigulu, wana uswahiba mkubwa, kiasi ambacho, ****** anashindwa kujizuia kumsifu hadharani huyo swahiba wake mkubwa!!

Kwa hiyo hapa pia tunapata ushahidi usio na mashaka yoyote kuwa hata ile adhabu ya kumtoa Tundu Lissu, bungeni, haikuzingatia kanuni za bunge,bali ilibase zaidi ushoga uliopo kati ya Mwigulu na ******!!!
 
Naibu spika mhe Job Ndugai amemsifia Mbunge wa Iramba baada ya swali lake na KUSEMA SWALI ZURI NA KUSEMA AMA KWELI IRAMBA MNA MBUNGE MAHIRI. Ukweli utabaki palepale hata wenye wivu wakipotosha.[/QUOTE]

Those are two of a kind; hatutarajii Zuzu kumkosoa mbumbumbu; unless they want to commit suicide!
 
Anajaribu kumuosha kutokana na tuhuma za kung'oa watu kucha siyo?
 
Hivi Ndugai na Lusinde wazazi wao wana undugu wa damu? Maana wote ni.............ga
 
Naibu spika mhe Job Ndugai amemsifia Mbunge wa Iramba baada ya swali lake na KUSEMA SWALI ZURI NA KUSEMA AMA KWELI IRAMBA MNA MBUNGE MAHIRI. Ukweli utabaki palepale hata wenye wivu wakipotosha.

Mwache ampe sifa za kijinga, wana Iramba tunamsumbiri huyu m.p.u.m.b.a.v.u tuje kumtia adabu 2015.
 
Zamani ilikuwa tukimuona mtu mwenye KIPARA basi ishara ya kujawa busara! Na hii inanipa fundisho kuwa HAKUNA KIPARA PASIPO BUSARA,Hivyo tuna kila sababu ya kutofautisha kati ya KIPARA,KOVU na KUNYONYOKA NYWELE.Kinachoonekana sasa si vipara halisi bali matatizo ya kiafya ambayo yamepelekea nywele kutoweka au kutokuota kabisa
 
Amewasahau wabunge wengine mahiri wa CCM kama Peter Serukamba,Juma Nkamia,Silvester Mabumba na Livingstone Lusinde.
.....bila kuwasahau wabunge wa CHADEMA walioenda shule kama Joseph Mbilinyi (sugu) na Godbless Lema.
 
Nami nimemsikia huyo ******, kupitia kituo cha TV cha TBCCM, akimpongeza sana Mwigulu, eti kauliza swali zuri sana kuhusu ubovu wa barabara wa Sheluwi, mkoani Singida, na akatamka LIVE, eti watu wa Iramba magharibi wamepata mbunge makini!!

Huo ni ushahidi usio na shaka yoyote kuwa kumbe, ****** na mzinzi Mwigulu, wana uswahiba mkubwa, kiasi ambacho, ****** anashindwa kujizuia kumsifu hadharani huyo swahiba wake mkubwa!!

Kwa hiyo hapa pia tunapata ushahidi usio na mashaka yoyote kuwa hata ile adhabu ya kumtoa Tundu Lissu, bungeni, haikuzingatia kanuni za bunge,bali ilibase zaidi ushoga uliopo kati ya Mwigulu na ******!!!
MysteryGAY, You can rot to hell with your phobia attitude.
 
Chadema wakisikia Mwigulu ni uharo tu.

Mimi namsifu kwa kuwaumbua chadema na ugaidi wao.
 
Back
Top Bottom