Ndugai aelezea kwanini alimwita Mdee 'kituko'


sure King'asti
 
Shukrani Yahya M kwa kuongeza muda wa ziada ili swali lijibiwe
 
All in All job na mapumba hutumia mipasho kama njia kujilinda.
 
Job anazidi kujishusha chati..??? Kwanini asisubiri chati ishuke yenyewe kama itabidi?? Kwa jinsi mambo yalivyo huyu atatoka ulingoni mapema kuliko anavyofikiri na mwingine anayefanana naye ni Mwigulu..
 
Mkuu, sikujua kama na wewe ni Mheshimiwa Mbunge, na ulikuwemo mjengoni na ukamuona Halima 'akibinua vidole'. Au wewe ni miongoni mwa wale askari waliomtoa nje Machali?
sehemu ya kuonyesha dharau ilitolewa katika taarifa ya habari na hao hao Star tv, ni vigumu kuliendesha Bunge la namna hiyo kwani hata Charles Bonoface Mkwasa aliishindwa timu ya Taifa Queen kwa ajili ya USAGAJI.
Ni siku hiyo mtakapoamini mkielezwa NMC ilishawashambulia watu humo, ndo maana kiburi kinazidi
chao!!!!!!
 


Mkuu, NMC ndiyo nini?
 

Mineno yoooote hii uliojaza hapa haitoi justification kwa Ndugai kusema alichosema. Kama ni kuudhiwa hata Mnyika aliudhiwa na udhaifu wa Kikwete na Upuuzi wa CCM, lkn akaadhibiwa bila kuulizwa ni kitu gani kimemuudhi.

Kwa kifupi mimi sioni unachoongea hapa, Ndugai kakosea na hamna la kujitetea. Kubenuliwa vidole hakumfanyi na yeye kupata haki ya kutukana.
 
Halafu rais wenu eti hajui chanzo cha umaskin wa Tz, je kuwa na akina Ndugai, Nchemba, Komba, Lusinde, Chatanda et el ni mchezo?

Gharama zote za kuendesha bunge hili la bajeti, ingawa zipo kisheria, lakini ni hasara na ufujaji mtupu. Ingekuwa amri yangu ni lazima zingerudishwa 100%. Silly session, silly results and with ultimate stupidity end.
 
huyu ndugai mi nahisi hawezi kuliongoza bunge coz hana busara kama sita (6)
 
Kumjadili Ndugai ni kupoteza muda, yeye haelewi kitu, pia hajielewi yeye ni nani na hajui ya kesho ndo maana hana hata msaada kwa wagogo wenzie walio mitaani kama omba omba,
 
Huyu mleta mada ni msemaji wa kambi ya viongozi wa Bunge au?
 
Mkuu Huwasikasiriki,

Acha uongo bana. Mbona hizi alama wote tunazifahamu?



Ina maana huyo jamaa hapo juu ANATUKANA? Mie nilifikiri ni kama alama ya kusema WEWE au YOU.

Kidole cha kati ndiyo huwa ina maana ya TUSI. Hata Mzee Makamba alilalamikiwa kwa kuwaonyesha watu wa Mara kidole cha kati. Kibabu kizima kinawapa watu dole la kati, hakijiheshimu hiki kizee....


Usher pia aliwapa watu kidole cha kati ila akarudi palepale kuomba msamaha maana ni TUSI. Acha kupindisha habari.



 
Ndugai ameshapoteza mwelekeo ccm tunasubiri maziko
 
viongozi wengi wa ccm
wamepoteza muelekeo
tuwasamahe tu
maana hawajui walitendalo.
 

JF ni democratic forum. Acha demokrasi ichukue ukweli wake. Wakati wewe huoni nilichoongea wana-JF watatu wamenipa LIKE wakati wewe huna hata moja hadi dakika hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…