Ndoto

Ndoto

Fahamu hivi, ndoto zipo za aina 3, Kuna ndoto unaota ambazo ni ujumbe wa kweli kutoka kwa MUNGU kupitia Roho mtakatifu, na ndoto ya aina hii atajirudia zaidi ya mara moja kuweka msisitizo kuwa hilo jambo lipo na litatokea.
Kuna ndoto unaota ni kutokana na mawazo mengi kwa jambo hilohilo, na ndoto kama hiyo haiwezi kujirudia hata. Na ndoto ya aina pia uchangiwa na uchovu iwe kiakili na kimwili.
Ndoto ya aina ya 3, ni ndoto za kichawi au kishetani, wakiwa na nia ya kukugombanisha au kukuchanganya au kukupishanisha na majira yako halisi ya wewe kupata au kufanikiwa. Kwa namna nyingine ndoto za aina tuweza kuziita ndoto za kipepo, ikiwa ni pamoja na ndoto zile unazini ndotoni.
Labda na nikupe tafsiri nyepesi baada ya kuota ndoto na kuamka. Kwa ndoto zenye ujumbe kutoka kwa MUNGU.
Je!, baada ya ndoto uliyoota kukatika , moyoni mwako ulijisikiaje? amani na furaha au moyoni mwako ulijisikia kufadhaika?
Majibu ya karibu ni haya, kama moyoni mwako ulijisikia amani na furaha ujue hiyo ndoto imebeba ujumbe mzuri. Mwanzo 41:8--57
Na kama ulijisikia kufadhaika ujue hiyo ndoto imebeba ujumbe mbaya, na ufanye maombi haraka ili kuzuia lisitimie.
Karibu.....
Mi naotaga nafikirigi ni kiu yangu tu ya kupata mtoto

Sent from my KIW-L24 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu unajua vutu vingi kuhusu ndoto, upo vizur.

Lakin swali langu ni kua, unatambua vip tafsir ya ndoto ya mtu usiye mjua wazifa wake au maisha yake kwa kifupi???? Bila kupewa tafasiri kutoka kwa Mungu????

Majibu ya karibu ni haya, kama moyoni mwako ulijisikia amani na furaha ujue hiyo ndoto imebeba ujumbe mzuri.
Na kama ulijisikia kufadhaika ujue hiyo ndoto imebeba ujumbe mbaya, na ufanye maombi haraka ili kuzuia lisitimie.
Karibu.....

Sent from my KIW-L24 using JamiiForums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fahamu hivi, ndoto zipo za aina 3, Kuna ndoto unaota ambazo ni ujumbe wa kweli kutoka kwa MUNGU kupitia Roho mtakatifu, na ndoto ya aina hii atajirudia zaidi ya mara moja kuweka msisitizo kuwa hilo jambo lipo na litatokea.
Kuna ndoto unaota ni kutokana na mawazo mengi kwa jambo hilohilo, na ndoto kama hiyo haiwezi kujirudia hata. Na ndoto ya aina pia uchangiwa na uchovu iwe kiakili na kimwili.
Ndoto ya aina ya 3, ni ndoto za kichawi au kishetani, wakiwa na nia ya kukugombanisha au kukuchanganya au kukupishanisha na majira yako halisi ya wewe kupata au kufanikiwa. Kwa namna nyingine ndoto za aina tuweza kuziita ndoto za kipepo, ikiwa ni pamoja na ndoto zile unazini ndotoni.
Labda na nikupe tafsiri nyepesi baada ya kuota ndoto na kuamka. Kwa ndoto zenye ujumbe kutoka kwa MUNGU.
Je!, baada ya ndoto uliyoota kukatika , moyoni mwako ulijisikiaje? amani na furaha au moyoni mwako ulijisikia kufadhaika?
Majibu ya karibu ni haya, kama moyoni mwako ulijisikia amani na furaha ujue hiyo ndoto imebeba ujumbe mzuri. Mwanzo 41:8--57
Na kama ulijisikia kufadhaika ujue hiyo ndoto imebeba ujumbe mbaya, na ufanye maombi haraka ili kuzuia lisitimie.
Karibu.....

Sent from my KIW-L24 using JamiiForums mobile app
Barikiwa
 
Mkuu unajua vutu vingi kuhusu ndoto, upo vizur.

Lakin swali langu ni kua, unatambua vip tafsir ya ndoto ya mtu usiye mjua wazifa wake au maisha yake kwa kifupi???? Bila kupewa tafasiri kutoka kwa Mungu????

Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu la swali lako ni,
Nitajua kwa kupitia neno la MUNGU, Ebrania 4:12-13
imeandikwa, Maana neno la MUNGU li hai, tena lina nguvu ,, tena lina ukali kuliko upanga uwào wote ukatao kuwili, tena lachoma hata kuzigawanya nafsi na roho , na viungo na mafuta yaliyomo ndani yake, tena li jepesi kuyatambua mawazo na makusudi ya moyo.
Wala hakuna kiumbe kisicho wazi mbele zake, lakini vitu vyote vi utupu na kufunuliwa machoni pake yeye aliye na mambo yetu.
Kwahiyo nitajua kwakuwa nina neno ndani yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kama imani yako imefika huko,

Basi naamin utakuwa umewahi kukemea pepo na likakutii mala moja.

Sindio????
Jibu la swali lako ni,
Nitajua kwa kupitia neno la MUNGU, Ebrania 4:12-13
imeandikwa, Maana neno la MUNGU li hai, tena lina nguvu ,, tena lina ukali kuliko upanga uwào wote ukatao kuwili, tena lachoma hata kuzigawanya nafsi na roho , na viungo na mafuta yaliyomo ndani yake, tena li jepesi kuyatambua mawazo na makusudi ya moyo.
Wala hakuna kiumbe kisicho wazi mbele zake, lakini vitu vyote vi utupu na kufunuliwa machoni pake yeye aliye na mambo yetu.
Kwahiyo nitajua kwakuwa nina neno ndani yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari,
Haina shaka ni sahihi kua umezaa na majini.

Dalili ya kua una mahusiano na majini ni pamoja na;
-hauwezi kuwa na mahusiano mazuri na mumeo au mwanamme wako
-huenda hata uchumi usiwe sawasawa
-unapenda usafi kupitiliza
-kama hujaolewa bado inakua ngumu kudumu kwenye mahusiano
N. K.
Hizo ni dalili huenda zote zikajitokeza ama baadhi

Unahitaji msaada wa kiroho maana ni tatizo la kiroho

Sent using Jamii Forums mobile app
Kati ya uliyotaja hamna hata kimoja mpendwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ndoto maana yake utafanikiwa, yaani kushika mimba ni sawa na kuandaa jambo mfano biashara au mipango yoyote ile ya kimaendeleo, na kuzaa ndiyo kupata au kufanikiwa katika yale uliyoyaandaa, hivyo basi inaweza kuwa kazi biashara ,au mipango yako ikazaa matunda yaani mafanikio tarajiwa.
Hivyo basi kushika mimba na kuzaa kiroho kuna kuna maana yake . Tena zaidi sana ndoto ikijirudia zaidi ya mara moja , maana yake inaweka msisitizo kuwa lazima lazima litimie.
Habakuki 2:2-3

Sent using Jamii Forums mobile app
Amina mtumish we ndo nmekuelewa nashukuru sana na n kwel nmekuwa nkifanya kaz kwa bidii sana lakin pia nkimtumikia Mungu kwa uaminifu nahis kwel itakuwa n ndoto nzur ahsante sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo ya Walawi 17:7

Wala hawatatoa tena sadaka zao kwa wale majini, ambao huwafuata ili wafanye uasherati nao. Sheria hii itakuwa sheria ya milele kwao, kizazi baada ya kizazi.

Inasema wazi kuna ambao wanafanya mapenzi na Majini, swali unafanyaje mapenzi na majini wasionekana kwa macho ya kawaida? Ni kwa ndoto.

Pia Biblia imeongelea shetani anapanda mapando (magugu) Matayo 13:24-26

24 Yesu akawaambia mfano mwingine, akasema, “Ufalme wa mbi nguni unaweza kufananishwa na mtu aliyepanda mbegu nzuri katika shamba lake. 25 Lakini watu walipokuwa wamelala, adui yake aka ja akapanda magugu katikati ya ngano, akaenda zake.26 Ngano ilipoota na kuzaa, magugu nayo yakachipua.

Ni sahihi umeota mara 2, ni msisitizo kua jambo hilo usipuuzie. Na kama ukipuuzia matokeo yake yatakuja siku chache maishani mwako.

Heri kuziba ufa kuliko kujenga ukuta upya na Bibilia inasema usiache vifungo vyako vikakazwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Bado hujanipa tafsir yake mkuu ikumbukwe sijaota nkifanya mapenz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu hawezi kupata mimba kama hajatom***, sawa japo kipande cha kutom*** ndoto yako iliki peleka mbele, hizo c dalili nzuri
Aah m naamin n nzur sana coz kwanza nilfurah lakn kilichozid kunipa matumain n jinsi nilvozid kumshukuru Mungu kwa kunipatia mtoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fahamu hivi, ndoto zipo za aina 3, Kuna ndoto unaota ambazo ni ujumbe wa kweli kutoka kwa MUNGU kupitia Roho mtakatifu, na ndoto ya aina hii atajirudia zaidi ya mara moja kuweka msisitizo kuwa hilo jambo lipo na litatokea.
Kuna ndoto unaota ni kutokana na mawazo mengi kwa jambo hilohilo, na ndoto kama hiyo haiwezi kujirudia hata. Na ndoto ya aina pia uchangiwa na uchovu iwe kiakili na kimwili.
Ndoto ya aina ya 3, ni ndoto za kichawi au kishetani, wakiwa na nia ya kukugombanisha au kukuchanganya au kukupishanisha na majira yako halisi ya wewe kupata au kufanikiwa. Kwa namna nyingine ndoto za aina tuweza kuziita ndoto za kipepo, ikiwa ni pamoja na ndoto zile unazini ndotoni.
Labda na nikupe tafsiri nyepesi baada ya kuota ndoto na kuamka. Kwa ndoto zenye ujumbe kutoka kwa MUNGU.
Je!, baada ya ndoto uliyoota kukatika , moyoni mwako ulijisikiaje? amani na furaha au moyoni mwako ulijisikia kufadhaika?
Majibu ya karibu ni haya, kama moyoni mwako ulijisikia amani na furaha ujue hiyo ndoto imebeba ujumbe mzuri. Mwanzo 41:8--57
Na kama ulijisikia kufadhaika ujue hiyo ndoto imebeba ujumbe mbaya, na ufanye maombi haraka ili kuzuia lisitimie.
Karibu.....

Sent from my KIW-L24 using JamiiForums mobile app
M kiukwel naweza sema n ujumbe mzur coz katika kuota nilmshukuru Mungu nilfurah sana na nkampa jina ambalo huwa nalipenda(divine)na maisha yakaendelea vzur mpaka nilpostuka ikumbukwe mchana nko bze na kaz nkirud usiku nmechoka sana ko hamna cha kuwaza nn nkiwa na mda kidogo nasikilza nyimbo namwomba Mungu nalala ndo ratba zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom