scolastika
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,863
- 5,734
Jaman wataalam wa ndoto naomben nitafsirie jana bhana baada ya miangaiko yangu nmerud nyumban nmelala sasa usku wa manane skumbuk ilikuwa kama sa ngap maana nilkuwa na usingiz sana niliota et nmejifungua mtoto wa kike nilfurah sana nkampa na jina moja nshaliandaa na mengine ya kunyonyesha yakafatia sasa badae nkastuka usingizn nkaenda kojoa nkarud kulala usingiz n umenikamata sana sasa hyo ndoto ilirud ileile duh mpaka nkaanza kuwaza Au nmepata mimba kwa uwezo wa roho mtakatfu maana kwanza nakaa mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app