Ndoto zangu za kuwa TISS zinafifia na umri unanitupa mkono

Mchemiaa

Senior Member
Jan 7, 2018
174
188
Wakubwa shikamooni,

Tangu nkiwa mtoto nilikuwa sana navutiwa na kazi ya Usalama wa Taifa yaani nikiwaona wanavyofanya kazi zao kwenye misafara ya viongozi navutiwa sana kuwa mmoja wao na niliamini ipo siku nitakuwa lakini mpaka leo sijona dira kabisa na umri unayoyoma kwa sasa nina miaka 26 degree holder nimeajiriwa sekta binafsi.

Nadhan baada ya miaka miwili nitapoteza sifa kabisa kwa kigezo cha umri. Rai yangu kama kuna yoyote anaweza kuniunganisha anisaidie nitimize ndoto zangu katika kulitumikia taifa langu
 
...Embu funguka zaidi tukusaidie kupata konikitioniiiiiii hahaaaa......kwa kuleta mada humu hukawii kutuletea taarifa za ndani upatapo/ukosapo ukitafutachoo...

enzi za Mwl Nyerere na Mheshimiwa Mkapa, hao wadau wa sekta hiyo walikuwa hawafahamiki kabsaaa
 
Kama imekuwa ngumu kupata tafuta hata za polisi, magereza, jwtz, kidogo itakupunguzia machungu uliyo nayo maana hata humu nao wana vitengo vinavyo usiana usiana na hao tiss.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom