ndoto za uponyaji.

My dear zidi sana kuomba Mungu wa ukweli atakufunulia tu Kama hizo ndoto zatoka kwake,you have to be very careful because even the devil has such powers but if you pray and read his word seriously ukweli utaona na Kama ni ya shetani ndoto zote hizo zitakwisha
 
Punguza 'weed' mkuu. Usinywe 'mbege' kabla ya kulala. Hayo ni mauzauza yanayotokana na 'influence' ya hivyo vitu
 
Asante sana PSM. UShauri mzuri sn huu.
 
Mimi nafikiri kwamba,ndoto zako zaweza kutoka kwa shetani aliyejigeza kwako kama malaika wa nuru;kwa lengo la kukufanya mganga maarufu au mtumishi wa ibilisi au utakuwa miongoni mwa mitumi wa uongo! [2WAKORINTO 11:13-15]
 
Hahaahah kwann watu mnampa shetani Ushindi namna hii. Atukuzwe baba, mwana na roho mtakatifu.
 
Last edited by a moderator:
Hahaahah kwann watu mnampa shetani Ushindi namna hii. Atukuzwe baba, mwana na roho mtakatifu.
Bi.Nyakomba,ndoto zako zimenikumbusha ndoto ya mwanamke mmoja aliyeitwa ESTA;pale Mikocheni aliyesema mungu alimtokea na kuanza kuwaombea wanawake wengi wanaotaka watoto;ambao walipata miujiza ya mimba bandia; ya mtu kukaa na mimba hiyo hata zaidi ya miaka miwili na kuzuiwa kwenda kliniki !!!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…