ndoto za ngono

Jamani msaada, mimi uwaninaota mara kwa mara nafanya mapenzi na mwanamke mwenzangu na ninapata utamu kuliko nikidoo na my husband, nifanyeje jamani as I love my hubby na nina 2 kids, help

usagaji sasa unataka kunoga zaidi kuliko ushoga..
 
Thanx, I tried to sleep with bibilia chini ya my pillow last night na sijaota, but am seeking for a permanent help
Pole sana mkuu hiyo ni dalili kuwa una pepo mchafu na permanent solutio ni kama ifuatavyo.

Kaaa kwenye ukimya mwalike Yesu aingie moyoni mwako ili awe Bwana na Mwokozi wako , then mwambie hii shida ili adili nayo na kama unaona itakua ngumu basi omba mtu akuongoze sala hii na akuombee ujazo wa Roho Mtakatifu then kaa ktk ukimya ukitafakari uzuri wa Yesu na wema wake then tulia kimya kabisa. Mara zote soma injili ya marko na Luka utaona miujiza mingi ya Yesu na hiyo itakuvuta ktk imani. Fanya jambo hili kila siku wala usichoke.
 

Hope she reads this. The only point missing here is advising her to get Saved. Uokoke na Kusali. Yesu ni Mwokozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…