ndoto za ngono

lily

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Posts
229
Reaction score
27
Jamani msaada, mimi uwaninaota mara kwa mara nafanya mapenzi na mwanamke mwenzangu na ninapata utamu kuliko nikidoo na my husband, nifanyeje jamani as I love my hubby na nina 2 kids, help
 
mmmmmh ni ndoto au ulikua ukifanya hivyo?? acha kuangaalia video za wasagaji kama unapenda kuangalia maana kitu unacho kiota unapenda kukifanya au kuangalia au kukifikiria sana anza kuwaza watoto wako mume wako na mambo mengine yanayohusu familia yako itakusaidia
 
Thanx, I never watch those video ever, yaani ni ndoto tu mpaka nashindwa kuelewa, shoga yangu kaniambia eti niko na jini mahaba but I dont know what to du.
 
1.It might be a sign that you are going through a depression au una matatizo ambayo huna wa kushare nae au wa kuyatatua! Una vitu unavyotamani sana maishani ambavyo havijawa so your mind goes into fantasy mode, as a result unakuwa unaingiliwa!

2.It is also possible you are living a double life whereby huna principles unazosimamia kwenye maisha. Yaani huwezi kusema kwa hakika wewe ni nani au misimamo yako ni ipi from a morality point of view (wewe nikikuuliza kama usagaji ni kitu kizuri au kibaya - utaniambia inategemea mazingira!!!!! You need to believe in what you believe in and walk it!

3. It is also very possible that your problems are not psychological or emotional instead they are spiritual! You need a complete spiritual turn around - deal with your heart and mind (cleansing and deliverance) and you will be whole/free from perverseness spirit!
 
Jamani msaada, mimi uwaninaota mara kwa mara nafanya mapenzi na mwanamke mwenzangu na ninapata utamu kuliko nikidoo na my husband, nifanyeje jamani as I love my hubby na nina 2 kids, help

Na hata ukiduu na mumeo kabla hujalala pia huwa unaota hizo ndoto? Kuwa na mazoea ya kusali kabla hujalala.
 
Mumeo mmesha tengana.. hamfanyi nae tena hayo mambo... ndoto na mkisagana manake ulikua na katabia hako kabla ya kuolewa...
 
Thanx, I tried to sleep with bibilia chini ya my pillow last night na sijaota, but am seeking for a permanent help

Hivi mtu akilala na biblia ikiwa chini ya mto ndio huwa inasaidia nini vile??
 
If you believe that your problem ni spiritual, then you are almost there! Just sema unahitaji msaada, will be happy to help you. By the way kulalana Biblia ni upotofu wa daraja la juu. Ni sawa na mtu kuchemsha daftari na kunywa supu akiamini elimu itakaa kichwani na atafaulu! soma kwa bidii, deal with your heart painfully, control your mind and you are almost there!
Thanx, I tried to sleep with bibilia chini ya my pillow last night na sijaota, but am seeking for a permanent help
 
hapo tu ni ndoto but utam kuliko wa husband wako. Kweli mambo magumu sana kama ndio hivi
 
pole my dear jitahidi
1 umwazie mwanadada yeyote ktk hali ya matanio ya kimapenzi
2 epuka kulala milalo ambayo huwa inakupa mihemuko ya ngono
3 fanya maombi kabla ya kulala
 
Dada hilo ni pepo la ngono, kuna mtaalamu mmoja alituambia huwa linaanza hivyo tena baada ya miezi kama miwili linakujia kwa jinsia nyengine tafauti na yako tena unawezekano mkubwa wa kuliona linapukuja

Dalili zake
-Kuwa mciovu katika mapenzi
-Hela unazopata matumizi yake hayaeleweki, yani ukai n pesa
-Kama unafanya biashara zinakuwa ngumu kupita kiasi yani hata mtaji unakula
-Asilimia kubwa za ndoto za kawaida unazoota huwa zinatimia, mfano utaota utakutana rafki mpya, basi huwa kweli
 
Thank u so much tetere i went to yhe church nimewasha mishumaa and will pray before bed and see what will happen. God bless u
 
Hivi mtu akilala na biblia ikiwa chini ya mto ndio huwa inasaidia nini vile??

Kutoota ndoto za kugegedana na mwanamke mwenzie na pia husaidia kulala usingizi mzuri kama wa baby.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…