Ndoto yangu bado haijatimia

Hizo zote zitabaki kuwa ndoto tu bila pesa.

Pia kumbuka hata ukiwa na pesa si kila sifa utakayopewa itakuwa ni ya dhati, wengine watakusifia ili wapate pesa zako tu.
Kuna kina Mwijaku wanaoishi kwa kusifia wanaume wenzao tu ili wapewe pesa.

Nje ya mada, kutumia neno 'mkaka' ikiwa wewe mwenyewe ni mtoto wa kiume kuna ishara mbaya sana juu ya ukamilifu wa uanaume wako. Hilo neno hutumiwa na kina dada tu.
 
Tayari huyu keshakuwa upinde. cocastic njoo mchukue mwenzio huyu uanze kumlea.
 
Kaka au mkaka. Nenda shule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…