Ndoto ya Mhe Membe Hii Hapa

Ndoto ya Mhe Membe Hii Hapa

Kangol

Member
Joined
Jun 3, 2013
Posts
47
Reaction score
8
"Kuona wakulima wa Tanzania wanapata soko la uhakika la mazao yao na wanawezeshwa kushiriki kwenye shughuli nyingine za kujipatia kipato; vijana wanapatiwa elimu bora katika ngazi zote itayowapa ujuzi wa kuajiriwa na kujiajiri wenyewe; sekta binafsi inawezeshwa ipasavyo kwa kupunguza vikwazo na kuboresha miundombinu ili ichangie kwenye pato la taifa ipasavyo; na mwisho, huduma bora ya afya inatolewa bila malipo kwa wajawazito, watoto na wazee"
 
na hili umesahau,anawashughulikia wandishi wa habar wote nchini watakao kuwa wanaandka habar zake vibaya,akihakikisha familia yake inaishi peponi,

Akina Mengi na Sita rafiki zake watapewa vyeo Mengi atakuwa Gavana Mkuu , na Sita atakuwa Waziri Mkuu huku Mwandosya Akiwa katibu Mkuu kiongozi ikulu na Kigwangwala atakuwa Waziri wa mambo ya ndani ili iwe rahisi kuwabambikia kesi akina Lowasa, bashe na wale wote wanaomuunga Mkono Lowasa , yaani usiombee Menbe akawa Rais magereza yatajaa wafungwa wa kisiasa na inaweza kusababisha jeshi kupindua Serikali kutokana na Udikiteta utakaokuwepo kipindi hicho.
 
"Kuona wakulima wa Tanzania wanapata soko la uhakika la mazao yao na wanawezeshwa kushiriki kwenye shughuli nyingine za kujipatia kipato; vijana wanapatiwa elimu bora katika ngazi zote itayowapa ujuzi wa kuajiriwa na kujiajiri wenyewe; sekta binafsi inawezeshwa ipasavyo kwa kupunguza vikwazo na kuboresha miundombinu ili ichangie kwenye pato la taifa ipasavyo; na mwisho, huduma bora ya afya inatolewa bila malipo kwa wajawazito, watoto na wazee"

Umejuaje ?
...wewe ni mkewe mpaka ujue ndoto zake?
 
Membe alimpiga kipapai ( ndumba ) Barozi wa Libya akajiua mwenyewe ili iwe rahisi kuchukuchia Mapesa ya Merehemu Gadafi ambayo kayaficha kwenye mahandaki akiogopa kuweka benk Maana anajua ni Msala kwani Walibya wana-usongo naye ile mbaya, sasa anazitumia hizo pesa kuwanunua watu wamchafue Lowasa huku Pia akisuka Uchonganishi Kati ya Pinda na Lowasa. Mbinu zake sasa zimejulikana kila mmoja anajua Kuwa hampendi Lowasa na huwa anatamani hata augue
 
Membe alimpiga kipapai ( ndumba ) Barozi wa Libya akajiua mwenyewe ili iwe rahisi kuchukuchia Mapesa ya Merehemu Gadafi ambayo kayaficha kwenye mahandaki akiogopa kuweka benk Maana anajua ni Msala kwani Walibya wana-usongo naye ile mbaya, sasa anazitumia hizo pesa kuwanunua watu wamchafue Lowasa huku Pia akisuka Uchonganishi Kati ya Pinda na Lowasa. Mbinu zake sasa zimejulikana kila mmoja anajua Kuwa hampendi Lowasa na huwa anatamani hata augue Ebola ili asigombee Urais , adui yake ni Lowasa Mtu akienda kwa membe na mbinu za kumdhoofisha Lowasa hupewa pesa nyingi hata Kama mbinu zake ni feki feki tu, wengi wamemchuna sana wakiwemo akina Dialo ambaye amevuna dola kibao huku na Mkinga naye sasa kaingia kwenye Mtego wa membe.
 
funza lowasa anaumwa. ni kazi ya mungu wala usimsingizie mtu
 
Nyie vipi membe si yuko serikani mbona hafanyi hayo mambo? acheni urongo bwana
 
jibu hoja, sio jazba

Hoja hii hapa : R.I.P Barozi wa Libya ulikufa ukitetea mkwanja wa Libya usikwapuliwe na Benard membe , sasa hayo mapesa ya Marehemu Gadafi yanatumika vibaya , yanatumika kuchonganisha watu, kuchafua watu kwenye mitandao, yanatumika kununua njia ya kuelekea ikulu Pesa za Gadafi ni Shiiiiiiiiiiida ! Nenda kamuulize baba yako Membe ni Kwa nini asizitumie hizo Pesa za Gadafi kuwakwamua wale Masikini na fukara pale kijijini kwao awape mikopo au hata awawezeshe Pia ajenge miundo mbinu kijijini kwao kuliko kutumia pesa nyingi kumchafua Lowasa huku ndugu zake wakilala kwa njaa.
 
"Kuona wakulima wa Tanzania wanapata soko la uhakika la mazao yao na wanawezeshwa kushiriki kwenye shughuli nyingine za kujipatia kipato; vijana wanapatiwa elimu bora katika ngazi zote itayowapa ujuzi wa kuajiriwa na kujiajiri wenyewe; sekta binafsi inawezeshwa ipasavyo kwa kupunguza vikwazo na kuboresha miundombinu ili ichangie kwenye pato la taifa ipasavyo; na mwisho, huduma bora ya afya inatolewa bila malipo kwa wajawazito, watoto na wazee"

Huku mnamuweka vizuri, halafu nyie-nyie mnachafua wanasiasa wengine, ndugu yangu... muosha huoshwa, hata awe na ndoto za kutoa maziwa kwenye mabomba huyo jamaa hafiki popote, strategy aliyochagua ya kuchafua wenzake ni mbaya sana

subiri February utasikia
 
funza pole; kumbe umelewa. ukiwa sober karibu tujadili. suala la mtu kuchafuliwa lipo wapi hapa. acha ulevi.
 
funza lowasa anaumwa. ni kazi ya mungu wala usimsingizie mtu

Ugonjwa hauna hodi kila mmoja aweza kuugua mda wowote ule, japo Membe anajiona yeye ni Mungu hawezi kuugua ndiyo Maana kaamua kumpakazia Lowasa Ugonjwa ili yeye aonekane ni mtu asiyeumwa hata aking'atwa na nyoka, inabidi Membe atambue Kuwa mwaka 2015 bado ni mbali kiafya yeyote aweza kuugua hata kipindu pindu kisha watu wakashangaa , hapa Tz Hakuna aliye Msafi kiasi cha kumnyooshea mwenzake Kidole, kila mmoja ana madhambi na mapungufu yake.
 
Hoja hii hapa : R.I.P Barozi wa Libya ulikufa ukitetea mkwanja wa Libya usikwapuliwe na Benard membe , sasa hayo mapesa ya Marehemu Gadafi yanatumika vibaya , yanatumika kuchonganisha watu, kuchafua watu kwenye mitandao, yanatumika kununua njia ya kuelekea ikulu Pesa za Gadafi ni Shiiiiiiiiiiida ! Nenda kamuulize baba yako Membe ni Kwa nini asizitumie hizo Pesa za Gadafi kuwakwamua wale Masikini na fukara pale kijijini kwao awape mikopo au hata awawezeshe Pia ajenge miundo mbinu kijijini kwao kuliko kutumia pesa nyingi kumchafua Lowasa huku ndugu zake wakilala kwa njaa.

Hii Mkuu ni kali sana! Sasa itakuwaje maana mijamaa ya libya inajua namna ya kufanya kwa waliodhulumiwa!
 
Ugonjwa hauna hodi kila mmoja aweza kuugua mda wowote ule, japo Membe anajiona yeye ni Mungu hawezi kuugua ndiyo Maana kaamua kumpakazia Lowasa Ugonjwa ili yeye aonekane ni mtu asiyeumwa hata aking'atwa na nyoka, inabidi Membe atambue Kuwa mwaka 2015 bado ni mbali kiafya yeyote aweza kuugua hata kipindu pindu kisha watu wakashangaa , hapa Tz Hakuna aliye Msafi kiasi cha kumnyooshea mwenzake Kidole, kila mmoja ana madhambi na mapungufu yake.

mkuu membe ana uzima gani?pale alipo ana sukari,japo namuombea Mungu kwasabu siyo yeye ametaka,na kamwe huwez kumcheka mwenzio akiuguuwa
 
funza pole; kumbe umelewa. ukiwa sober karibu tujadili. suala la mtu kuchafuliwa lipo wapi hapa. acha ulevi.

Tujadili nini? Wewe unamtetea Membe ulikuwa ukidhani ni Mungu Mtu sasa umebaini kumbe yeye ana yake Mabaya unaanza kuchachawa nani mlevi ? Wewe unayemtetea membe ndiyo uache Ulevi kumbuka mjadala umeanza hivyo kila mwenye yake analeta hapa.
 
Mkuu msamehe utakuwa umemgusa tundu la kinyesi
 
Back
Top Bottom