singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
Hivi mantiki ya kuweka picha ya gazeti ni nini?
Huyu nae ni JIPUShekhe Ponda apinga uchaguzi zanzibar
Kwa hili namuunga mkono, maamuzi ya wazanzibari yaheshimiweHuyu nae ni JIPU
Sasa mkuu umeweka post afu hakuna maelezo. Pengine wewe usha soma tayari gazeti hilo. Ulichotakiwa hapa ni kuweka gazeti+ sammary ya kilichomo kuhusu hiyo ndoto ya magu