Ndoto ya leo mmmh! Yerreuwiii!!

Ndoto ya leo mmmh! Yerreuwiii!!

Murano

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
2,056
Reaction score
1,128
Gud morning wakuu.. now nimeota napanda ngazi then kwenye ngazi nkaokota hela na line za simu . then ghafla nikagairi kupanda nikashuka.. hapo ndoto ikakata. je, wataalam wa hizi mambo kuna nin kitantokea?
 
Maaana yake ulikuwa unaenda ahera yaaani wiki hii humalizi utakufa wewe
 
Gud morning wakuu.. now nimeota napanda ngazi then kwenye ngazi nkaokota hela elf 20000 na line za simu 4. then nikagairi kupanda nikashuka.. hapo ndoto ikakata. je, wataalam wa hizi mambo kuna nin kitantokea?

njaa tu inakutesa
 
Last edited by a moderator:
dont settle for less,usikatishe maono yako makubwa uliyonayo kwa vitu vidogodogo vya kupita.....usiache mbachao kwa msala wa kupita
 
Maana yake ulipaswa kufika mbali ila tamaa ya vitu vidogo tena vya mpito vikakurudisha chini...
 
Hapa maana yake Brazil imepigwa 7 -1 na Germany
 
dont settle for less,usikatishe maono yako makubwa uliyonayo kwa vitu vidogodogo vya kupita.....usiache mbachao kwa msala wa kupita

nimekupata mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom