Chinduli Jr
Member
- Nov 21, 2016
- 47
- 21
Anaitajika kwa kweliMziziMkavu
Hapana pornograph sina mpango nazo kabisaOnategemea, ndoto zile si za kuota hovyohovyo ila pale kibobo kinapokua kimejaa ndo unaota ili kimwage material zilizokosa matumizi.
Kama unaota hovyo bila sababu ya msingi huenda zina uhusiano na hivyo viumbe.
Usijekuwa mtazamaji wa 'x' ukawa unaita ukasingizia jini mahaba.
Hakuna ukweli...Hiyo ni hali ya kawaida ya kibaolojiaHabari zenu wadau, bila shaka kuuliza si ujinga naombeni mnijuze.
Hivi kuna uhusiano wowote kati ya ndoto nyevu na mambo ya kijini(JINI MAHABA), Maana nilishawahi kusikia, ukiwa unaota hizo ndoto basi jua ya kwamba ni JINI MAHABA, na anaweza kupelekea kuvunja mahusiano.
je? kuna ukweli wowote?
Basi kibobo hicho kimejaa acha kimwagike.Hapana pornograph sina mpango nazo kabisa
Hahahah! nina mchumba, mkuuBasi kibobo hicho kimejaa acha kimwagike.
Ila swali la ziada, umeoa/una mchumba?
Huduma unaipata au ni mpenzi mtazamaji maana hizi ndoto wanaota mabachelor na wapenz wa tazamaji.Hahahah! nina mchumba, mkuu
Huduma huwa Inatokea tukiwa karibuHuduma unaipata au ni mpenzi mtazamaji maana hizi ndoto wanaota mabachelor na wapenz wa tazamaji.
Tuliooa hilo goli la kuponyoka usingizini halipogo.
Kumbe yupo mbali. Basi hilo ni jambo la kawaida tu man.Huduma huwa Inatokea tukiwa karibu
Sawa mkuuSi kweli mpaka ulale sehemu yenye unyevu nyevu ndo utaota ndoto nyevu lakini ukilala sehemu kavu hizo si ndoto kavu ni maono.
Ndiyo Sababu,unatupia kwa nadra,na mawazo kibao juu yake.Huduma huwa Inatokea tukiwa karibu
Aina noma bro nitakomaaKumbe yupo mbali. Basi hilo ni jambo la kawaida tu man.
We komaa kiume tu uchafue shuka kuliko kuzimwagia bafuni.
Pamoja sana.Aina noma bro nitakomaa