Mimi nijuavyo watu wote hawawezi kuwa na mawazo sawa milele, wewe subiri anguko kubwa la UKAWA! Tundu Lissu alituaminisha kuwa "hakuna ndoa ya waume wengi na haitakuwa" yaani CHADEMA vs CUF! All of a sudden tumeona hiyo ndoa tuliyoambiwa haiwezekani imewezekana bila kutoa ufafanuzi wa kauli zao za mwanzo! Hapa hakuna umoja wa dhati na wakikosa kile walichokuwa wakitafuta, yaani "Serikali 3/Nchi 3" watasambaratika kwa kuwa hawatakuwa na "Common Cause!"
Wana Ukumbi,
Kama ilivyo kawaida kwa askofu Kakobe kuota ndoto mbalimbali kuhusu mambo yanayohusu mstakabali wa taifa letu. Askofu Kakobe ameota ndoto nyingine ambayo inawahusu UKAWA na harakati zao za kudai katiba ya wananchi.
Katika ndoto hiyo ya askofu Kakobe ambayo ameitoa leo katika ibada ya jumapili kwenye kanisa lake, amesema kuwa, kutokana na hali ya ubaguzi uliokithiri kwenye upinzani kupitia umoja wao huo wa UKAWA, haoni kama kutakuwa na mafanikio yoyote ya malengo ya wana UKAWA.
Askofu Kakobe katika kufafanua alieleza kwamba, viongozi wa UKAWA hasa mhe Mbowe hakuwa sahihi katika maamuzi yake ya kuwatenga waasisi wa upinzani nchini, akimaanisha mhe Mrema. Hivyo, kitendo hicho cha ubaguzi kitaondoa baraka iliyokuwa imepandikizwa awali kwenye umoja huo.
My take,
Ni vyema sasa mhe Mbowe akachukua onyo hili na kufanya maamuzi sahihi ya kumuunganisha mhe Mrema na UKAWA. Kwa kuwa wote tunajua nguvu ya kiutabiri aliyonayo nabii Kakobe.

Huyu kakobe nae n muongoo..!! Kwny hutba yake alisema tanganyika iachwe kama nchi huru na zanzibar iachwe kivyake..!! Leo hii anasema vingine..!! Ama kwl hii n tz at 50..!!
Faizafroxy kapatia sana kusema wajinga waliwao
hivi Kakobe kasahau kwamba ni Mrema huyu huyu ndiye aliyetumwa kuisambaratisha NCCR. Kazi akaimaliza vizuri sasa anakula pensheni taratiibu.
Angesema kuwa kaoteshwa ndoto ya "Serikali 3/Nchi 3" ungemshangilia na kurukaruka kwa furaha! Tatizo la ndoto yake ni pale inapokuwa tofauti na mawazo yako!
(''Ange''-sema.......''Unge'')- Hapo bado unarudi kwenye suala lile la MAKISIO au MAONO BINAFSI(ambayo ni sawa tu na NDOTO). Huna hakika na mtazamo wangu juu ya hilo, ndo maana uwezo wako unaishia hapo hapo ulipoishia kufikiri-expect no more.

Kama hufuatilii mijadala humu huwezi kunielewa!
Wana Ukumbi,
Kama ilivyo kawaida kwa askofu Kakobe kuota ndoto mbalimbali kuhusu mambo yanayohusu mstakabali wa taifa letu. Askofu Kakobe ameota ndoto nyingine ambayo inawahusu UKAWA na harakati zao za kudai katiba ya wananchi.
Katika ndoto hiyo ya askofu Kakobe ambayo ameitoa leo katika ibada ya jumapili kwenye kanisa lake, amesema kuwa, kutokana na hali ya ubaguzi uliokithiri kwenye upinzani kupitia umoja wao huo wa UKAWA, haoni kama kutakuwa na mafanikio yoyote ya malengo ya wana UKAWA.
Askofu Kakobe katika kufafanua alieleza kwamba, viongozi wa UKAWA hasa mhe Mbowe hakuwa sahihi katika maamuzi yake ya kuwatenga waasisi wa upinzani nchini, akimaanisha mhe Mrema. Hivyo, kitendo hicho cha ubaguzi kitaondoa baraka iliyokuwa imepandikizwa awali kwenye umoja huo.
My take,
Ni vyema sasa mhe Mbowe akachukua onyo hili na kufanya maamuzi sahihi ya kumuunganisha mhe Mrema na UKAWA. Kwa kuwa wote tunajua nguvu ya kiutabiri aliyonayo nabii Kakobe.
Kila mtu amepewa nafasi ya kushiriki/kuchangia mjadala unaotokana na mada kuu iliyowekwa hapo juu. Sasa sijaelewa unawashwa na nini mpaka ukaanza kujadili mchango wangu. Mimi nafuatilia mijadala yote inayoletwa hapa,na ndio maana sijamjadili mchangiaji yeyote humu ndani ila nimejadili hoja iliyopo hapo juu,sina nafasi ya kuanza kukufuatilia eti leo umesema nini ili nikuelewe! Huhitaji degree ili kuelewa ni nini cha kufanya uonapo mada imeletwa,ni UTIMAMU tu unatosha kukupa direction; CHRONICAL CRITICALIST!!
Mrema anataka maoni ya ccm yaheshimiwe na sio ya wananchi,je hataingiaje UKAWA? []... nadhani katika kumlisha maneno Kakobe mmesahau mkachanganya na baraza kivuli la bunge la jamhuri...ni vyema mkajipanga vizuri...
Mrema akija UKAWA atawapiga shule kwmba Serikali 3 ni sumu ya Muungano na kwamba kama uwingi wa Serikali ndio dawa basi kila kijiji kiwe na Rais wake, wimbo wake wa Taifa, Bunge lake, nk!