Ndoto: Mchumba wangu amekua kichaa

Ndoto: Mchumba wangu amekua kichaa

chi-mamy

Member
Joined
Jul 14, 2015
Posts
30
Reaction score
12
Za majukumu wana JF, bila shaka mko wazima.

Hii ndoto ya kumuota mchumba wangu amekuwa kichaa inanitesa sana, kwani mara nyingi huwa namuota akiokota makopo ndotoni.

Msaada kwa mwenye kufahamu tafsiri ya ndoto hii.
 
atakua kichaa muda sio mrefu mchukue mkaombewe maana mwezi hu waeza isiishe akaokkota ayo makopo
 
Mpeleke mirembe kabla hajakudhuru .
 
Embu amka ukatafute pesa acha ujinga huo ......
 
Umerogwa pengine na x wako khaaa
 
markia

Zidisha maombi juu yake na pia umwambie kuhusu iyo ndoto ili kama kuna mambo anayafanya yenye kuweza kumpelekea kuwa ivyo ayaache
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom