Acha uongo, sema wewe ni team LOWASA utaeleweka.
Mkuu sio uongo na wala mimi sio team lowasa,hayo yote ni ukweli na utakuja nikumbuka siku Lowasa akikabidhiwa nchi.
mambwege wengne bhana
Mi naona tusimuunge mkono ili tujue nguvu ya ndoto zako,
Tusimpigie kura,na kama akishinda basi utatangazwa mtabiri wa taifa
Lala tena mkuu labda ndoto itabafilika
Team Lowassa at work.....
"Jiulize utaifanyia nini nchi yako ,sio utegemee Lowassa ataifanyia nini nchi yako" J Kennedy
Wengi tulikuwa na matumaini kama hayo kwa JK,sasa HATUNA HAMU NAE!!!
Habari wanajf
Mara nyingi katika maisha yangu ya kila siku nimekuwa nikiwezeshwa kuwa na maono ya mambo yatarajiwayo kupitia ndoto.
Kwa mfano kipindi sina mke nilikuwa namuota sana mke wangu nilienae. Ndoto nyingi nilikuwa naota naishi nae kama mke na mume..hatimaye ndoto zangu zilitimia nilikuja kufunga nae ndoa na sasa ni mke wangu na ni mama wa wawili.
Sio hilo tu,ni mambo mengi sana nimekuwa nikiyajua kabla hayajatimia kupitia ndoto.
Lengo la uzi huu..imekuwa zaidi ya mara mbili sasa naota mh. EDWARD LOWASA akiapishwa urais na anakagua gwaride la Jwtz huku wananchi wakimshangalia kwa furaha ya juu zaidi kwamba wamepata mkombozi wa taifa lao.
Hakika nawaambia ndugu zangu,EDWARD LOWASA ndiye amir jesh mkuu 2015/2025.
Hivyo basi,tuweke pembeni itikadi zetu..tumuunge mkono Lowasa popöte awapo kwani ndiye mtu pekee aliyebaki kuliongoza taifa hili kwa uadilifu na uwajibikaji.
Viva lowasa
Viva Tanzania.

Jk na lowasa ni vitu viwili tofauti kabisaaa mkuu..acha kabisa kuwalinganisha.