Retards Finder
JF-Expert Member
- Apr 24, 2018
- 509
- 706
- Thread starter
-
- #41
Nina mashaka na uwezo wako wa kusoma na kuelewa.Wachana na Imani za kipumbavu hakuna muujiza unaokuja wala utakao tokea kwa pambana na hali yako tumika utapata yesu yesu yesu ujinga mtupu toa jasho utapata jibu
Asante kwa ushauri wako Kiongozi.Mkuu ni kwa vile unaenda kanisani au kwa lugha nyingine wewe ni mkristu ila huamini ukristu ,ni hali inayokinzana inayokufanya ufeel guilty …unaliota sababu lipo subcounscious linakujia kwa njia ya ndoto ila ni kitu ambacho kipo mawazoni mwako...cha kufanya mkuu nenda dini ambayo mawazoni kwako ndio sahihi utakua na amani
Aksante kwa kunithibitishia kuwa wewe ni kichaa kamili. Usijali, waombe ndugu jamaa na marafiki wakuwahishe mirembe hospital Dodoma. Tiba kule ni bure tu. Au wakupeleke kwenye rehab yeyote karibu na wewe. Watakusaidia kuondoa hiyo arosto.
Acha hao mamilioni wanaoziamini nguvu za Kimungu waendelee kuwa wajinga kasoro wewe soro mmoja tu aliye erevuka. So sorry.
kunywaga konyagi bapa moja na kilo ya kitimoto hutaiona tenaMimi ni kijana wa Kikristo ninayeabudu kupitia dhehebu la Kanisa Katoliki.
Ila si mtu wa dini sana,hata kanisani huwa naenda mara chache sana kwa mwaka.
Lakini nimekua nikiota ndoto moja ya kiimani mara kwa mara,haiwezi kupita mwezi sijaota ndoto hii.
NDOTO YENYEWE:
Usiku wa manane ghafla najikuta napambana na nguvu ambayo haionekani kwa macho,hiyo nguvu napambana nayo kwa njia ya MAOMBI,nakemea sana hiyo nguvu kwa kulitaja jina la Yesu (kama vile wafanyavyo walokole).
Kuna wakati huwa kama inakaribia kunishinda (huwa nahisi kama napoteza nguvu),ila kadri ninavyozidi kulitaja jina la Yesu mara nyingi ndivyo nguvu hivyo inaposhindwa kuendelea na mapambano.
SWALI:
Ni nini maana ya ndoto hii ambayo imekua ikikatisha usingizi wangu mara kwa mara?
Nini nifanye kuepukana na ndoto hii?
Yaani unathibitisha kuwa unatumia kilevi flan hivi nacho sasa naomna hakikuendei vyema. Nimetoa tusi gani katika andiko langu?? Una shida kubwa na unahitaji msaada wa Mungu tu.Eti wewe ndio mtu wa Mungu unatukana kama mwehu?
Mungu wako ndio kakutuma utukane namna hii?Basi atakua mpuuzi sana kama wewe ulivyo!
Mungu (null and void) akiaminiwa na watu wengi haimaanishi ni kweli yupo..
You are all waste of space!
Yaani unathibitisha kuwa unatumia kilevi flan hivi nacho sasa naomna hakikuendei vyema. Nimetoa tusi gani katika andiko langu?? Una shida kubwa na unahitaji msaada wa Mungu tu.
Neno la Mungu wangu daima ni la kweli. Zaburi 14 : 1 Mpumbavu amesema moyoni mwake; Hakuna Mungu.
Hivyo wewe neno la Mungu linakuita "MPUMBAVU" sio mimi. And that is what yu are. Funny is it not?
sasa kama si mtu wa dini sana na umeona kabisa unashinda hiyo nguvu kwa jina la Yesu, kwa nini usiamue kuwa mtu wa dini kweli kweli ili hata kuiota tu usiote.Mimi ni kijana wa Kikristo ninayeabudu kupitia dhehebu la Kanisa Katoliki.