Ndoto inayonisumbua

Asante sana kwa mchango wako Kiongozi. Nimekuelewa sana, nitafanyia kazi ushauri wako.
 
We jamaa acha kupotosha watu
 
We jamaa acha kupotosha watu

Sasa ndoto ni nini mzee?

Ndoto,well,is just ndoto!

Nani kakwambia ndoto ina affect things in real life?

Ulichokiona ndotoni infact ni reflection ya ulichokua unafikiri kwenye subconcious brain yako....Ilikua stored humo passively...

Upumbavu wa ku-equate matukio halisi na ndoto ni wa kuacha...

Ulichokiona ndotoni halafu ukaja kiona in real life ni infact pure coincidence wala haina meaning yoyote na haisaidii chochote ku-affect au alter the event...

Uote au usiote,unge-react essentially the same....

Ndoto hazina supernatural powers za aina yoyote....ni fears zako tu!
 
Just be sirius and things will be reviled to yu boy. Umeuleta uzi kiutani ndo maana unapewa majibu ya kiutani pia. Elewa kitu moja; Mungu huongea na watu kwa Sauti kabisa, au maono au ndoto. Hizi ni njia ambazo Mungu huongea na watu. Kama ndoto inakurudia mara kwa mara, kuna kitu anakuelekeza ufanye au ujiepushe nacho.
Tizama; wewe unakemea tu ka walokole yaani kwa kutumia jina la Yesu tu na nguvu za ushindi zinakujilia. Huoni kuwa Mungu anakuandaa ili likija la kuja uokolewe kwa hilo jina a Yesu??
Umesema kuwa wewe ni mkatoliki. Sisi huwa tunaamini kwenye yafuatayo kutuokoa katika hatari; 1. Rosari. Uivae au usali. 2. Maji ya Baraka. urushe upande adui atokako au umwage chumbani. 3. Ukimwita Mama yetu mpendwa Bikira daima. Maria Mtakatifu mama wa Mungu.
Mbona hujafanya hivyo ulinganishe na hilo jina la kilokole?? PM ukitaka msaada kamili
 
Hiyo ndoto kuna nguvu za giza zina pambana na ww kazana na maombi hakuna namna kijana ukizembea watakuchukulia point kizembe
 

Yaani bado kuna wanadamu mnaamini kuna Mungu au kiumbe kinaongea na mtu kwenye ndoto au "maono"?

Hakuna kitu kinaitwa "maono".....Unachokiona au kukiita maono infact ni mental images zinazoonekana kwenye Mind's Eye na ni kitu muhimu kwa healthy human being,usipopata hizi mental images ni ugonjwa unaitwa "Aphantasia" na hua unawaatokea mtu mmoja kati ya watu 50...

Hayo "maono" yako infact ni normal occurrence to all healthy human beings..kui-link na eti mtu anaongea na wewe ni lunacy ya hali ya juu!

Unapolink hayo "maono" ambayo ni mental images na normal real life ndio tunapoku-classify kama kichaa kuhamisha upumbavu wa hallucinations into normal life undertakings!
 
Kwanza kujirudia ndoto unapewa msisitizo wa hilo jambo
pili unatakiwa kujua ni eneo gani huwa unaliona unapokuwa kwenye ndoto kwani huwa inamaana yake
Tatu turudi kwenye ndoto unaoneshwa kwamba kuna vita au kutakuwa na vita lakini utaishinda kwa nguvu za Mungu
NB: mwombe Roho mtakatifu akufunulie maana ya hiyo ndoto maana kukufunulia hayo ni kazi ya Roho mtakatufu
 
Aksante kwa kunithibitishia kuwa wewe ni kichaa kamili. Usijali, waombe ndugu jamaa na marafiki wakuwahishe mirembe hospital Dodoma. Tiba kule ni bure tu. Au wakupeleke kwenye rehab yeyote karibu na wewe. Watakusaidia kuondoa hiyo arosto.
Acha hao mamilioni wanaoziamini nguvu za Kimungu waendelee kuwa wajinga kasoro wewe soro mmoja tu aliye erevuka. So sorry.
 
Asante kwa mchango wako Kiongozi.
Sikuleta huu uzi kwaajili ya kujifurahisha tu ndugu,samahani kama kuna sehemu unahisi nimetumia lugha inayofanana na utani,lakini utani haikua lengo langu katika uzi huu.
 
1. Una mtu wa karibu ameokoka? Huyo unayemuita mlokole? If Yes basi tambua kuwa anapambana kwa ajili ya familia, ukoo, mtaa, jamii dhidi ya ngivi za giza na hizo nguvu za giza pia zimekushika mpaka wewe, so waoneshwa ni namna gani anavyopambana, naweza sema umemuotea mtu ndoto.

2. Umeshajiuliza ni kwanini hujashinsana na hizo roho/nguvu kwa namna ambavyo katorik wanapambana? Katoriki ni dini/dhehebu na Yesu hajaleta dini wala dhehebu ila ameleta wokovu, anataka watu watubu waokoke kupitia Jina lake.

Mungu anahitaji ukoke, waliokoka tu ndio wafalme na makuhani, huwezi kumshinda ibilisi pasipo kuokoka.

Okoka Mkuu.
 
Hizo ndoto za kula nyama ndio mmeona dili kuwapiga waumini siku hizi acheni uongo mwepesi
 
Asante kwa mchango wako Kiongozi.
Sikuleta huu uzi kwaajili ya kujifurahisha tu ndugu,samahani kama kuna sehemu unahisi nimetumia lugha inayofanana na utani,lakini utani haikua lengo langu katika uzi huu.
Basi usome mchango wangu na uufuate kwani ni Mungu anasema na wewe
 
Wachana na Imani za kipumbavu hakuna muujiza unaokuja wala utakao tokea kwa pambana na hali yako tumika utapata yesu yesu yesu ujinga mtupu toa jasho utapata jibu
 
Pengine kuna litakalokutokea, unatayarishwa jinsi ya kupambana nalo ni kwa kumwita Yesu.
 
Mkuu ni kwa vile unaenda kanisani au kwa lugha nyingine wewe ni mkristu ila huamini ukristu ,ni hali inayokinzana inayokufanya ufeel guilty …unaliota sababu lipo subcounscious linakujia kwa njia ya ndoto ila ni kitu ambacho kipo mawazoni mwako...cha kufanya mkuu nenda dini ambayo mawazoni kwako ndio sahihi utakua na amani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…