Aksante sana Kaka... Nitajitahidi kuwa nasari kabla ya kulala!!Nikwel mr..... Hvyo vitu vipo..... Na huwa vinatokeaga, huwa watu wanatofautiana kiimani mwengine atakwambia mtu akishakufa ishakwisha habari yake na wengine pia watakwambia roho zinaishi........ So ili kuepuka hilo bila mkanganyano (utata) basi cha msingi zingatia dua kwa imani yako kipindi ambacho anaelekea kulala...... Kwan mungu ndo kila kitu..... That's all
Post sent using JamiiForums mobile app
Iko hivi kuna makundi matatu ya ndotoSawa Mkuu!!
Post sent using JamiiForums mobile app
Umepita mpaka chuo kwa uandishi mbovu kama huo?! anyway pole sana kwa kufiwa,Wakuu habari ZENU!!
Mimi na itwa Elias... Nikiwa chuoni mwaka wa kwanza mwaka 2012 nilipoteza kaka yangu niliyekuwa namfatia kuzaliwa, ifikapo tena mwaka 2014 nikiwa bado chuoni nikafiwa tena na baba mzazi kabsa... Ila kinacho niumiza zaidi nikuendelea kumuota kaka yangu nikiwa nae tangia kwa kipindi chote hicho.
na ikumbukwe baba ndo ametoka mda wa kalibuni kuliko hata kaka simuoti kabsa japo nilikuwa nampenda sana pia...
Kwa mda wote wa kuanzia 2012 nilipoteza kaka wiki ikisha bila kumuota niko naye inakuwa bahati ila kalibia kila wiki nilazima nimuote Mara mbili au zaidi ya....
Inafikia wakati naogopa labda na Mimi nimekalibia kumfata huko alipo yaani na Mimi kufariki!!
Wadau naombeni msaada wenu wa kujinasua katika ndoto hii kwa sababu na nyanyasika sana yaani kila siku baada ya kushituka kwenye hii ndoto msiba unakuwa kama umeanza upya.
Natanguliza shukurani na naomba mtu asiweke utani katika hili!!
Post sent using JamiiForums mobile app
Sawa Mkuu ....Mara nyingi inakuwa kama tupo kwenye shughuli fulani za kinyumbani nikiwa nafanya naye!!!Iko hivi kuna makundi matatu ya ndoto
-ndoto za kawaida zitokanazo na shughuli zetu za kila siku (kimawazo kmaneno na kimatendo)
-ndoto kutokana na vyakula kulala vibaya ama michezo ya wanga
-ndoto taarifa ama ndoto maono! Hizi hujirudiarudia na kuna ujumbe unajaribu kupewa... Hebu kumbuka kila inapotokea hiyo ndoto inakuwaje
Post sent using JamiiForums mobile app
Alikuwa anapendelea nini hasa!? Wakati wa uhai wake I meanSawa Mkuu ....Mara nyingi inakuwa kama tupo kwenye shughuli fulani za kinyumbani nikiwa nafanya naye!!!
Kwa namna nyingine sikumbuki ila kwa upande huo inatokeza zaidi!!
Post sent using JamiiForums mobile app
Nasali.Aksante sana Kaka... Nitajitahidi kuwa nasari kabla ya kulala!!
Post sent using JamiiForums mobile app
Mkuu rugha kwangu ni kikwazo kikubwa sana tangiapo japo pia soma yangu sikujikita sana kwenye rugha... Pia nashukuru kwa ushauri wako japo hii ndoto sioni kama inatokana na kuwaza kwa sababu sipandagi kuwaza dhidi ya ndugu yangu huyo and wonderful enough huwa na muwaza baba zaidi kuliko hata brother mwenyewe!!Umepita mpaka chuo kwa uandishi mbovu kama huo?! anyway pole sana kwa kufiwa,
Hizo ndoto ni kutokana na kuwaza tu,ndoto ni reflection ya unachokiwaza sana au ulichokiona,
Kua muangalifu sana,watakuja watu humu na kuhusisha kitendo cha ndoto zako na ushirikina! huo ni upuuzi,jaribu kujiweka bussy na usiwaze sana coz kifo ni kwa kila kiumbe chenye uhai,wacha maisha yaendelee.