Dolla7
Member
- May 9, 2020
- 20
- 8
Wanasema kuwa ndoto ni maaono ya jambo litakalotokea au lilillokwesha tokea. Ila kwangu imekua nitofauti, nilivyotafsiri katika ndoto zinazonisumbua miaka hazi timii.
Nimenda kwa shehe zaid ya wawili wakanitafsiria, lakini walio nitafsiria na kunitabiria sioni yakitimia
Naombeni mnisaidie maana ya ndoto hizi je nikwel ndio hatma yangu
Ndoto ya kwanza: Ninaota tupo safarini na marafiki zangu na watu nisio wajua, katika safari yetu tunakuta mto wa maji wanashindwa kuvuka mimi tu ndo nafanikiwa kuvuka tu wakijaribu vuka maji huwasomba
Ndoto ya pili: Ninaota tunapanda mlima mreefu wenzangu wote hushindwa katikati mimi peke angu ndo hufika kileleni
Ndoto ya tatu: Ninaota nipo na marafiki zangu tunakula karanga ila karanga zetu zina namba na zimefungu kwe vifuko vimbamba na karanga zangu namba yake nikubwa kushinda za wengine unakuta ni 87/95/97 mamba zinabadilika mara kwa mara kutokana na ndoto zinavyo jirudia vile vile karanga yangu ni ndefu kushinda za wenzangu
Ndoto ya nne: ninaota nipo na watu marufu na wanakuja kunitembelea kwangu na nipo kweny nyumba nzuri ( chaa ajabu sina nyumba nimepanga na kodi tu inanishinda)
Ndoto hiz zimekua zikijirudia mara kwa mara nemenza kuota ndoto hiz toka 2015
Je ndoto hiz zina maana gani? Naomben mnisaidie
Mshana Jr ,@Rains