wakuu nisaidieni kutafsiri ndoto hii ni kwamba USIKU NIMEOTA NIPO MAREKANI PANDE ZA NEW YORK KWA KINA DIDY NA JAY Z, lakini ajabu kuja kushtuka kumbe ni hapa hapa bongo keko toroli. wakuu hii ndoto ina maana gani?
Ina maana wewe ni mshabiki wa Puff Diddy kwa hiyo umemuota.
Ulilalia godoro ama mkeka?
mkuu nililalia godoro bana
Wakuu nisaidieni kutafsiri ndoto hii ni kwamba USIKU NIMEOTA NIPO MAREKANI PANDE ZA NEW YORK KWA KINA DIDY NA JAY Z.
Lakini ajabu kuja kushtuka kumbe ni hapa hapa bongo keko toroli.
Wakuu hii ndoto ina maana gani?