Diason David
JF-Expert Member
- Aug 2, 2018
- 7,557
- 7,381
Jana nimeota ndoto bhana nilikuwa napitapita huku na kule sina ramani mjini sina hata akiba ya kununua apple punch ya jero, katika pitapita zangu nikaona msimbazi yuko chini moja nikaona Mungu si athumani ameona anitumie kwa jinsi alivyo wa neema sasa ile naokota kwa mbali naona askari mmoja wa kike aliyevalia uniform nyeupe akiniita kama vile ananifahamu nikasogea halipo alikuwa kwa duka kufika anafosi nitoe ile msimbazi alio ona nimeidondokea kama vile yeye ndiye alienituma niokote pale akawa anafosi hata tubadilishane paswi nikamwambia hiyo haitawezekana kirahisi hivyo baadaye akasema nitakuwa radhi kwa lolote kama nitampa msimbazi hata nusu yake kwa maana yupo tayari kunipa ile roho inapenda nilijikuta nakubali japo na njaa yangu nikashikana nae mkono kwenda nae kwenye hiyo shughuli mara ndoto ikakata gafla Dah.
Wasaalamu wana members wa MMU
Wasaalamu wana members wa MMU
