mandorooboo kabisa haya,mavi ya kuku na li Rais feki la chama cha soka mbofumbofu
kuliko ulipe kiingilio cha kuyaona haya mandorobo bora ununue gazeti ujipepeee
Bado Nigeria na Egypt hawajaja hapa kuja kumnyoa mwendawazimu,inatakiwa tujitokeze kwa wingi kwenda kuwashangilia wageni,siku hiyo ndiyo ujumbe utafika ,hata mafisadi ya serikali yatastuka
Mkuu washaraaamba zao mbili,
Ndo mana kila siku nasema Bongo hakuna soccer bali kuna kabumbu,
Naona kocha mzungu katolewa uwanjani kwa escort ya FFU hi hiiii