Ndondo cup bingwa wa majiji nani bingwa

lun

JF-Expert Member
Nov 18, 2017
667
743
Bila kupoteza muda wakati watoto wa tulia wala maparachichi wakipigwa nani atakuwa bingwa mbele ya rais wa FIFA Mimi mzigo wangu naweka kwa goms united!!! Weka na wewe utabiri wako karibuni wana JF
 
Back
Top Bottom