Tz-guy
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 436
- 88
Hii mpya, ina maana ndugu zetu waislamu hatuna moyo wa kuvumiliana na kuchukuliana?
Hiyo ndio jino kwa jino.
Hii mpya, ina maana ndugu zetu waislamu hatuna moyo wa kuvumiliana na kuchukuliana?
Hii mpya, ina maana ndugu zetu waislamu hatuna moyo wa kuvumiliana na kuchukuliana?
Hivi kama sehemu ya ibada ambako Mungu wanaamini yupo wanakosa uvumilivu sasa huku nje itakuwaje kama si watatuchoma moto kabisa. Dini nyingine ni za Lucifer kabisa, hata kama alikosea si kumpiga ila ni kufuata taratibu za msikiti.
Kwao hiyo haipo. Jino kwa jino ndo sera ya dini yao. Kwa wakristo vingefuata vikaoHii mpya, ina maana ndugu zetu waislamu hatuna moyo wa kuvumiliana na kuchukuliana?
You have hit the nail on the head!Jambo la msingi hapa ni kuwa hii taasis haijui ilitendalo, kama kweli ndolanga alikuwa/ni mjumbe wa baraza la wadhamini wa msikiti akifanya jambo lisilotakiwa anatakiwa ashitakiwe katika vyombo husika na kwa kufuata taratibu/katiba/ miongozo ya baraza la wadhamini. Nilitegemea kusikia ameshitakiwa BAKWATA ama BAMITA ama kwenye shura ya Maimam au taasis yoyote ya kiislam, inashangaza kuwa wanamvua nguo mwislam mwenzao tena msikitini kisha wanampeleka polisi au hawa polisi ni taasis ya kulinda maimum?!.
Jambo la msingi hapa ni kuwa hii taasis haijui ilitendalo, kama kweli ndolanga alikuwa/ni mjumbe wa baraza la wadhamini wa msikiti akifanya jambo lisilotakiwa anatakiwa ashitakiwe katika vyombo husika na kwa kufuata taratibu/katiba/ miongozo ya baraza la wadhamini. Nilitegemea kusikia ameshitakiwa BAKWATA ama BAMITA ama kwenye shura ya Maimam au taasis yoyote ya kiislam, inashangaza kuwa wanamvua nguo mwislam mwenzao tena msikitini kisha wanampeleka polisi au hawa polisi ni taasis ya kulinda maimum?!, hawajifunzi kwa wakatolik ambao hushitakiana ndani ya vyombo vya kanisa na hukumu zinaheshimika?. OK, labda angekuwepo KADHi wangeshitakia huko na si kupigana ngumi na kisha kupelekana kwa Afande Mwema.
hiyo tanganyika jeki ni shambulio la aibu maana hata 'nuts' zenyewe zinaweza kupasuka...lakini nyumba ya ibada ni sehemu ya amani...kulikoni?Ilikuwa ni jana baada ya swala,Ndolanga akachukua mike nakuanza kuwatangazia waumini kuwa kuna mabadilliko ya uwongozi,na kusema kuwa ma imam wasaidizi wawili mikataba yao imekwisha watachaguliwa wangine,ndipo hapo watu wakaanza kuhoji yeye kama nani na katokea wapi wakati wanajua yeye hupenda kuswali msikiti wa manyema......wanajua kilichompekapale ni pesa,ule msikiti na miradi mingi sana na mfadhili mwenye mshiko....ndipo zongo lilipo anza japokuwa Ndolanga alikuwa amekuja na mabaunsa wa nne lakini walishindwa kumsaidia,asichezee makofi,yule mzee alichezea makofi mengi sana kutoka kwa vijana pale,baadaye walipiga tanganyika jeki akiwa pekupeku wakampeleka kituo cha polisi usalama magomeni.......
​mnnh me nkajua kaacha shughuli za utapeli
Nasubiri Jesuit, Malaria Sugu, Faizafox n.k. waje tuone mambo!
Yule si alikuwa na a.k.a ya Tyson! Huwezi jua anaweza akawa yeye ndo kawadunda wenzie, maana amewahi kumchapa Matep Quaresi enzi za kuuza vitalu vya uwindaji