Ndoa.

Ndoa.

Bra-joe

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,840
Reaction score
1,428
Habari wana mmu? neno WIFE/HSBND MATERIAL ndiyo chanzo kikubwa cha ndoa kuvurugika. Watu wengi huamini maisha bila ndoa hayajakamilika na hayana furaha, hivyo wakimpata mpenzi ambaye anauwezo wa kumudu kuwa na mke/mme atajifanya kadiri awezavyo kujionyesha yeye ni WIFE/HSBND MATERIAL bila kujua kwamba hawezi kuificha tabia yake halisi kwa muda mrefu ndani ya ndoa, baada ya tabia yake halisi kujulikana hapo ndiyo ndoa huenda mrama. Kumbe badala ya kuangalia kama ni WIFE/HSBND MATERIAL jiangalie wewe mwenyewe kwanza kama; unamapenzi ya kweli kwa mwenzako? utaweza kuishi na mtu ambaye kalelewa katika mazingira na familia tofauti na wewe? kama utaweza kuishi na mapungufu yatakayojitokeza baada ya ndoa? kuwa tayari kusamehe kosa hata liwe kubwa kiasi gani? Utaweza kumpenda maisha yako yote kama ulivyompenda mwanzo? Kama hata jibu moja tu la hayo maswali hapo juu ni HAPANA, kamwe nakushauri usioe/usiolewe. Kama majibu yote ni ndiyo basi oa/olewa na ndoa yako itakuwa SUPER NDOA.
 
.......naamini muda ukifika, na majanga unayoweza pitia ndio wakti muafaka mtu anapoweza toa definition sahihi ya wifey/husby material.

😉
 
.......naamini muda ukifika, na majanga unayoweza pitia ndio wakti muafaka mtu anapoweza toa definition sahihi ya wifey/husby material.

😉

hapo ni sawa na kujitawaza kwanza halafu unajisaidia, ukimaliza kujisaidia unavaa nguo na kutoka msalani.
 
siku hizi watu hawaoi..wanavutana tuu...

Ukivuta ukakuta yaliyomo hayamo, unavuta kingine.
 
wewe mtoa mada uieleweki,una maana kuwa wanao oa siku hizi wanakosea au?maana kama ujui duniani kote ndoa zimebaki AFRIKA
 
Back
Top Bottom