Ndoa zina mambo kha!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
52,367
24,062
Wanasema imani n kuwa na uhakika wa mambo yatarajiwayo n bayana ya mambo yasioonekana

Dah nnina dada yangu kaolewa kama mwez umepita jana kapiga mumewe kahamishiwa dodoma....

Hapo tuna mwingine kaolewa toka mwakajuzi mume anaishia songea mke dar na wanae

Jamaa anakuja kukagua kama anachukua hela benki siku tatu nne kageuka

Nawaza huuyu nae anaenda kupokea machungu yaleyale aisee.....

Mwaka wetu huu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom