Ndoa sisi ni ya kutuheshimisha tuu ila tusionekane wahuni ila wanawake hawaturizishi wao wanataka pesa na kelele tu, hapo ni nini utainjoy sasa wewe ni mbio tuu kuitafutia familia ata ausifiwi.
Upendo unapungua kwakweli akipatikana wa kukujali unajiegesha lakini moyo wako upo kuleee unapovurugwa yani hii taasisi ni mtihani kwa pande zote mbili