The Hidden
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 246
- 102
Apia!!!Waliosoma wengi wao wajuaji
Sio kwa mwanaume wala mwanamke
Wewe una hizo sifa, nitangaze nia chapchap???Sio kweli kwamba sio wife materials. Kuna wanawake wengi tu walioenda vidato na ni wife materials wa kufa mtu.
Mwanamke wa nguvu na anayejielewa, haijalishi how far she went to school, atatimiza majukumu yake ipasavyo kama mke au mama kutokana na mazingira husika.
Inapendeza sana na hakuna raha kama kuwa mwanamke msomi na anaejielewa vizuri inapokuja kwenye majukumu ya mama/mke. Familia haitatetereka. We are the Pillar of the Family, na tukiwa na shule ndo nguvu inaongezeka.
kweli kabisakila mmoja anachangamoto zake katika ndoa, cha msingi ni penzi la dhati kwani mkipendana mambo mengi hufunikwa na upendo.
Wewe una hizo sifa, nitangaze nia chapchap???
Na wewe bhana kila mwenye pesa atakugegeda tu aki ya naniwanume ndiyo inawahusu .. mwanaume pesa huna basi
Me huwa najiuliza,ndoa za watu ambao hawajaenda vidato huwa ziko vipi?maana naona kama zimekaa kipori pori flani hivi.
Hakuna kipoli wala nini maisha ni kufahamiana na kupeana nafasi kila mmoja katika werevu alionao tena tusiosoma sana mambo masherere tuMe huwa najiuliza,ndoa za watu ambao hawajaenda vidato huwa ziko vipi?maana naona kama zimekaa kipori pori flani hivi.
Hiyo ni dhana iliyo jengeka tuu kama ilivyo kwenye makabila...
Kwa mie tabia ya mtu haiangalii usomi, kabila, dini, utajiri au umaskini..
Wapo walioolewa ni wasomi wametulia na wengine hawajatulia, na ambao sio wasomi vile vile wapo waliotulia na wengine ndo vile tena..
Kama muoaji kigezo na usomi Sidhani kama ndo kinampa mtu mke mwema au la... Yapo mengi saana ya kukufanya uwe na umpendae