'Ndoa' za Wanachuo hosteli 'bubu'

na mengine yanazaa kabisa, itakua dunia ya maroboti. Mweeeeeh
 
Vile cocastic anachungualia huu uzi kwa mbali kana kwamba yeye siyo mwanachuo na mambo haya ya kuloweka vyuoni ndiyo anayasikia kwa mara ya kwanza

View attachment 2048777
rafiki acha uchokozi bas nawee, hakna kitu km hicho bhana, sema watu wana fikra potofu mno juu ya wanachuo,
Mie sina hakika km watu wanaishi kinyumba, ila najua kuna mtindo wa kubebana ktk rooms.


Au nasema uongo rafiki?
 
Hayo mambo hayajaanza leo wala jana ni muendelezo wa walipoishia wengine(graduates).
 
Tunaamini Wanachuo ni watu wazima wenye akili timamu. Hivyo acheni nongwa, Waacheni wajiachie wafanye wakipendacho.

Hapo Chuo ni sehemu huru sana kwao, Maana huku Sekondari walikuwa wanadhibitiwa na Wazazi.
Ndiyooooooh, acha watu wafaidi uhuru bhana.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…