Mtu anamaliza chuo kikuu ikiangalia mwandiko wake tu unashangaa, muulize basi yanayohusu jiografia ya nchi au ya dunia hajui chochote.Vyuo vishakua useless Tanzania
Kama una vijihela vyako ukajibana komaa mtoto mpeleke hata USA au Canada akakimbizane na competition huko zinazochukua watoto worldwide
Goddamn hata Kenya tu hapo si mbaya maana wapo namba 6 kwa Africa,au hata Africa Kusini
Western countries kuna real competition,ethics za kazi,za kujifunza,real timetable,unakutana na best of the best,unajitahidi kupambana,na pia wanadamu wanaheshimiana maana lawsuits ni nje nje...ubaguzi upo ila usiwe mtu sensitive sana,na ni katatiza kadogo compared na upumbavu mitoto inafanya huko changanyikeni inatoka hata haijui kuandika official email na presentantion
Tanzania kielimu tupo mavini kule kabisa..hata Uganda na Kenya hatuwawezi..what a Shame!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila huyu mtoa mada n muongo, hao wanachuo hawaja athirika kihivyo, mweeeehSindano moja kwamwezi 3 mdundo mdondoni habari yakubeba vikoba Zama zinabadilika vikoba kukosa soko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mmoja aliniomba kazi nikamwambia awashe PC afungue microsoft excel anifanyie hesabu ya 25+60 ni ngapi
Hakujua lolote
Nikampa nauli nikamwambia nitakucheck mambo ikikaa sawa
Duuh! Inatia huruma ila hakuna jinsi. Huyo aliyekuomba kazi alisomea mambo ya IT?Kuna mmoja aliniomba kazi nikamwambia awashe PC afungue microsoft excel anifanyie hesabu ya 25+60 ni ngapi
Hakujua lolote
Nikampa nauli nikamwambia nitakucheck mambo ikikaa sawa
Kama lemutuz vile [emoji2]Wala haina shida
Waliwe wasiliwe wala sina tatizo
Mimi nina tatizo na mtoto hana real skills na ethics za kazi mpaka kazi zifanikiwe
Ukitaka kujua watu wanafanyakazi seriously na hawana utani njoo nchi za West uone
Sasa ukimleta mtoto huku chuoni mwaka wa kwanza labda ana 16 au 17 1u 18 years old akae na hizi human competition huku a-survive mpaka anamaliza Masters 6 or 7 years later,then ataondoka na culture ya msingi sana ya kujituma hapa duniani
Eti mtu ameishi the most competitive place on earth kama New York City downtown,halafu eti aje Dar es Salaam ataona hii lightweight kabisa
Hata kama hajasomea mambo ya IT mtu yeyote anayejiita msomi anatakiwa ajueDuuh! Inatia huruma ila hakuna jinsi. Huyo aliyekuomba kazi alisomea mambo ya IT?
Napinga, si lazima. Inaweza kuwa lazima kujua basic things tu kama typing, printing n.k. sio kutumia excel, haina ulazima. Hiyo excel ni part ya word, ni kama PowerPoint tu, kuna kozi sio lazima ufahamu kutumia excel.Hata kama hajasomea mambo ya IT mtu yeyote anayejiita msomi anatakiwa ajue
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hivyo eeh? Mimi nakumbuka nilisomaga course ya computer kwa mwezi mmoja tu na vyote hivyo tulifundishwa kwa hiyo nikajua ni moja ya vitu basic kwenye computer ingawa mimi mwenyewe nimesahau[emoji1787][emoji1787]Napinga, si lazima. Inaweza kuwa lazima kujua basic things tu kama typing, printing n.k. sio kutumia excel, haina ulazima. Hiyo excel ni part ya word, ni kama PowerPoint tu, kuna kozi sio lazima ufahamu kutumia excel.
Ni kweli, ila wewe ulifundishwa kwa faida yako ya baadaye, si kila field excel ni applicable at large.Hivyo eeh? Mimi nakumbuka nilisomaga course ya computer kwa mwezi mmoja tu na vyote hivyo tulifundishwa kwa hiyo nikajua ni moja ya vitu basic kwenye computer ingawa mimi mwenyewe nimesahau[emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
We mimi nafahamu wewe ndio kipanga wa mambo ya civil and structural engeneering. Maliza bwana uje kitaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nani kakuambia nipo Coet mie? Bado bado kidogo. Hahahah.
mwendo wa service line, nguza to nyumba, nguzo to nyumbaWanachuo mnapakana virusi tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jaman jaman haya bhana, kuna mtu kakuambia wee.We mimi nafahamu wewe ndio kipanga wa mambo ya civil and structural engeneering. Maliza bwana uje kitaaa
Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
Hahaha ila wewe hujaolewa hapo chuo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jaman jaman haya bhana, kuna mtu kakuambia wee.
Wee ndo ulisoma Coet, huhuhuh
Bila shaka hujafika chuoInakuja dawa yao, wataalamu wameshajua kuwa vitu walivyoleta kama FACEBOOK, INSTA, MA MOVIE PLATFORMS MBALIMBALI, NA VITU PHYSICAL VYA ANASA , wameshamaliza hiki kizazi, hakuna watu tena , wanaleta mbadala sasa hivi unaitwa ARTIFICIAL INTELLIGENCY (A. I). Unaambiwa sasa hivi wanakaribia kupata roboti zinazomzidi akili na uelewa mwanadamu, na wameshaorodhesha kazi zaidi ya 30 ambazo binadamu hatahitajika tena.
Kumbuka roboti hazichoki, haziombi ruhusa, hazidai mshahara, haziongei wala stori kazini n.k wala hazingonoki ofisini.
Kwa hayo mazezeta ya chuo yanajidanganya tu, hayana lolote , ulimwengu unaokuja muda si mrefu kutokana na mambo kama ya korona haya, mataahira hayo hayana chao. Roboti havai barakoa wala haambukizwi.
Lofa na mpumbavu wewe, nimefika chuo wakati wewe bado unatoa kamasi lakini uchafu wa siku za mwisho na wendawazimu wa kizazi cha wapumbavu kama wewe unatia kinyaa mpaka akili zenu inaonyesha ni mbovu,
Usifanye nimtafute binti wa chuo, una convince ya biashara. Ushani convince na mimi nitafute mtoto mkali.Ila wanachuo ni watamu jamani, unapiga simu, mzigo unaletwa. Kazi yako ni kutoa hela ndogo ndogo hizi za mahitaji.
NB. USIWALE BILA NDOM, UTAPOTEA MAZIMA