Jese Pinkman
JF-Expert Member
- Mar 5, 2014
- 661
- 338
Ni kweli kabisa vijana wengi sasa especially kwenye makanisa yetu wengi wanaoana wakiwa na mimba. Kinachonishangaza kanisa pia limeamua kuchukulia poa sijui imani hii inakwenda wapi?[/QU Wanachoangalia wao ni kwamba wamepata waumini wa kudumu tu baaasi,hayo mengine wanayafumbia macho kwa kuhofia kuwakwaza waumini si unajua tena mambo ya profit maximization!
Wamechoka au kabla ya kuoa huwapa girlfriends zao mimba na kuwalazimisha wazitoe. Kwahiyo wanapata uoga kwa kuwa they've been there already participating abortion. Mungu akisaidie hiki kizazi.Vijana wamechoka kuoa "tasa" coz wadada wanafanya abortions sana siku hizi. Wana shake well, then wanakumimba ili kupata uhakika..wengine wanaolewa hata vizazi hawana tena!!!
Kwani huoni yanayomkuta Gadner!
Dah! May God forgive you! Ushajua chanzo eenh!Kwani huoni yanayomkuta Gadner!
Vijana wamechoka kuoa "tasa" coz wadada wanafanya abortions sana siku hizi. Wana shake well, then wanakumimba ili kupata uhakika..wengine wanaolewa hata vizazi hawana tena!!![/Q
Watoto Ni Zawadi Kutoka Kwa Mungu